Sote tumeona hali hii mbaya kabisa kutokea katika nchi yetu nzuri, Hali hii mbaya kabisa ipo katika maeneo yote kama eneo la
a. Kiuchumi
hali ni mbaya sana hatukopesheki kimataifa kutoka kwa mashirika na jumuia za kimataifa kama Umoja wa Ulaya n.k Sasa nchi majirani wameanza kuacha kutumia...
Huo ndio ushauri wangu kwa huyu Mama kwani hata historia inaonyesha hivyo.
Wananchi wakifanikiwa kutioka wengi na wakaakua kukuza, watau wachache wa mwanzo baadae wataweka silaha chini na kuungana na waandamanaji.
Pia, wanaokaa kwenye vikao na kutoka na maazimio/maagizo, sio wanaoingia...
Rais najua umelala, Mimi sijalala kama kweli kwenye walioandamana Kuna walio kuwa na silaha, na wengine hawajui Kiswahili nchi haiko salama.
Rais wakati ukiwa kwenye kampeni kuna mengi Tanzania yalijili lakini binafsi siamini kama tulifika HATUA hii
Yaani silaha zilipitishwa mipakani kama...
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2
IN BRIEF:
1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
dr slaa
humphrey
humphrey polepole
madai
mfumo
mifumo
mifumo ya uchaguzi
moja
moja kwa moja
nchi
polepole
slaa
taifa
tishio
uchaguzi
uhaini
usalamausalamawanchi
Akizungumza leo Agosti 11, 2025, katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika katika shule ya Polisi Moshi, Inspekta Jenerali wa Polisi, Camillus Wambura ameeleza kuwa hali ya usalama ni shwari na Jeshi hilo linajiandaa na uchaguzi kwa kuweka...
Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu.
Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
Naendelea kusimama na Gwajima, Kuna MTU 100% anatumia Dola kwa Faida yake ya Kisiasa .
Hiii haiingii akilini, yaan Vijana wanaotumia tu Mitandao ya kijamii, kukosoa, kuelemisha , wanaonekana Et ni tishio la Nchi yaan Ni tishio la Nchi nzima?.
Kwamba Dola ,Dola inatishika na Hawa Jamaa...
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
PROPAGANDA ZA KUKUZA UWEZO WA RWANDA KIJESHI ZINAHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU HAPO BAADAYE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna tabia ambayo imekomaa miongoni mwa watu ya kuisifia, kuitukuza, kuipamba, kuipa uwezo hata usiofaa nchi ya Rwanda katika sekta mbalimbali. Na Leo nitajikita...
Mahakama mjini Bujumbura imemuhukumu kifungo cha miezi 19 Gerezani Mwandishi wa habari Sandra Muhoza baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila.
Mwandishi huyo wa habari mwanamke wa Burundi alikamatwa mkoani Ngozi tangu mwezi Aprili mwaka huu na...
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha...
MITHALI 11:6. HAKI HUOKOA WENYE HAKI. FITNA ZA KISIASA ITAWANASWA WENYE HILA. HAKI NDIO USALAMA WA NCHI NA SIO VINGINEVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mithali 11:6
Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe.
Bado Kuna mtifuano ndani ya nchi. Mambo...
Mzee wa Upako, Mchungaji Anthony Lusekelo amesema “Sijajua nani anafanya mambo ya kuteka watu, wengine wanahusishwa na Vyombo vya Dola. Kwa taarifa katika Biblia, Daudi alimshauri sana Selemanj kuwa watu wote wanaoathiri utulivu wa nchi uwe unaua. Wa kwanza kuuawa nikifa tu awe Yohab.”...
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.
I hold this qualifications.
Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.
Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya.
Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na...
Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
Kwa hiki kinachoendelea Kenya na kinachofanywa na vijana dhidi ya ongezeko la gharama za maisha ni tahadhari kwa viongozo waliopo madarakani nchini mwetu.
Kawaida, mwanadamu yeyote ana kiwango cha uvumilivu hususani pale anapokosa uhakika wa Kesho tonana na ugumu wa maisha, kukosa ajira...
Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi.
Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani...
Matukio unayosikia ya kutisha kama watu au mtu kuvamiwa na kuuliwa mengi yapo mipakani sababu wahalifu wanapata mwanya mzuri wa kukimbia au kuja.
Jeshi la polisi linatakiwa kuweka kitengo cha polisi kinachoitwa ranger .
majukumu yake ni polisi ambao wapo mipakani tu na vijijini vilivyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.