usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania National Alliance for Mass Advancement(NEMA), chama kilichonyimwa usajili kwa kuogopwa wanachama wake

    National Alliance For Mass Advancement(NEMA) Nimeingia Maktaba na nimekuta picha ambazo nilipiga mimi mweyewe kwa mkono na jicho langu ukumbi wa Arnautoglu miaka 28 iliyopita. Ilikuwa siku ambayo msajili wa vyama anahakiki wanachama wa NEMA. Leo asubuhi naziangalia picha hizi nacheka peke yangu...
  2. JamiiForums Tanzania KUHUSU USAJILI WA MAGARI

    Msaada hapo wazee wa magari Eti usajili wa E umeanza rasmi?
  3. J

    JamiiForums Tanzania TBS SASA KIDIJITALI: Usajili wa bidhaa za Chakula na Vipodozi pamoja na Majengo ya kuuzia na kuhifadhia bidhaa hizo, usajili ni Kielekroniki

    TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA VIPODOZI NA CHAKULA PAMOJA NA MAJENGO YA KUHIFADHIA NA KUUZIA BIDHAA HIZO KUJISAJILI KIELEKTRONIKI Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 22 Agosti, 2022 imewataka wafanyabiashara wa Chakula na Vipodozi pamoja na wamiliki wa Majengo yanayotumia...
  4. JamiiForums Tanzania Simba: Ni nani kafanya Usajili wa wachezaji?

    Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Kocha mkuu wa Simba hahusiki na Usajili wa wachezaji hawa ndio maana hawataki baadhi yao, ni nani kapendekeza Usajili huu? Hapa ni kocha mkuu aondoke au kocha msaidizi aondoke,
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo fursa za kilimo biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote hutegemea namma anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini na kuyatamani. Wakati maarifa ni zao la teknolojia iliyopo, maono hutokana na mitazamo na uelekeo wa fikra za Imani za dini, falsafa na itikadi. Ndio kusema teknolojia na maono ndio msingi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba fanyeji usajili wa mshambuliaji (readmade) sio huyu mzungu

    Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan Simba haitajin striker wa kumpa muda anatakiwa striker wa kuja kufunga sio huyu wa kumjaribu
  7. JamiiForums Tanzania Simba chukueni billion 20 za Mo mfanye usajili wachezaji wa maana

    Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga. Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona. Kama Mo alitoa pesa pesa zikowapi si zitumike kuleta wachezaji? Shida ya Simba ipo kwa Mo sio kwa Kakolanya, Matola...
  8. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba kuchanga pesa za kununua wachezaji

    MASHABIKI WA SIMBA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII. Baadhi ya mashabiki wa Simba wameamua kuchangishana FEDHA kwa ajili ya kuimarisha idara ya kiungo na idara ya mshambuliaji. Hayo yametokea Baada ya mchezo wa jana DHIDI ya Yanga Baada ya Simba kufungwa goli 2 kwa 1. Mashabiki wamekuja juu...
  9. JamiiForums Tanzania Simba na kamati ya usajili

    Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23. 1. Victoria Adebayor. 2. Stephan Azizi Key. 3. Luis Joseph Miquisson. 4.Abdul Suleiman Sopu. 5. LOBIE CESAR MANZOKI. Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere. KAMATI jisahihisheni. 6 ndio TATIZO kabisaaaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi Yanga kwa usajili wa viwango vya juu

    Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye ngome yao baada ya kutangulia kupata bao la mapema, ni moja ya timu ambayo iko vizuri sana kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama: Uamuzi wa Tume ya Uchaguzi wa Kutumia Usajili wa Kilektroniki Pekee katika uchaguzi wa Agosti 8 ni batili

    Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa na tume hiyo hazitoshi Tume hiyo ilisema kuwa Usajili wa Wapiga kura kwa Makaratasi unaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Kamati ya usajili ya Simba Sports Club rekebisheni haya kabla ya Agosti 31

    KAMATI YA USAJILI SIMBA.wakuu. Habari wakuu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Miguu. Na kusoma kidogo ukocha kama mafunzo ya ziada tu kwangu. Nianze kwa kuipongeza KAMATI ya usajili ya Simba kwa kufanya usajili mzuri, kuangalia mapungufu Yao ya msimu uliopita. Endapo Simba ikifanikiwa kumpata...
  14. JamiiForums Tanzania SENZO: Mimi Bado ni Mwananchi Sijaondoka Yanga kwa Ubaya, Akanusha kuchukizwa na Usajili wa Morrison

    #Kutoka_mwanasport Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison. Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: MTIBWA BADO HAWAJALIPWA USAJILI WA MSHERI

    ile klabu bora Tanzania na afrika mashariki na inayoogopeka Afrika nzima the dar young africans bado haijalipa pesa ya usajili wa kipa mshery toka mtibwa Klabu hiyo inayoendeshwa kisasa kabisa kwa kufata mfumo wa klabu za la liga pamoja na kupigiwa kelele kwa muda mrefu bado imekausha...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kuna usajili mzito unaendelea Salamander, nchi kutikisika

    Naam hali ni tete sana kwa simba kwani usajili unaoenda kutangazwa muda wowote huko jangwani si wa mchezo mchezo nchi itatikisika na utaacha vilio vikubwa sana hapo Simba. Tajiri mwenyewe Ghalib anahusika hapa kwani amekuwa akimpigia simu muhusika na kukutana naye mara kwa mara hotelini...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Wahandisi ERB waendelea kukwama kisa bodi iliyopo imemaliza muda wake. Rais tunaomba uteue Mwenyekiti mpya wa Bodi

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake. Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na...
  18. JamiiForums Tanzania Chelsea kutangaza usajili wa Koulibaly leo Julai 14, 2022

    Beki Kalidou Koulibaly amesafiri Jijini London kwa ajili ya kukamilisha usajili wake kutua Chelsea ambapo anatarajiwa vipimo vya afya, lei Julai 14, 2022 kabla ya kuungana na wenzake. Raia huyo wa Senegal anatarajiwa kusajiliwa kwa ada ya Paundi Milioni 34 baada ya kuitumikia Napoli kwa miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Usajili wetu (Yanga SC) msimu huu

    Foward hatari wa kimataifa fox in the box aliyepachika magoli ya kutosha kwenye mechi chache takwimu zake ni hatari amekuja nchini kutusaidia kimataifa mwite Lazarous Kambole mechi 46 magoli 2. Mengine hawajayahesabu mazoezini. Winga hatari winga wa kuingia nyo kwenye box aliyelitumikia bechi...
  20. JamiiForums Tanzania Au Mo amegoma kutoa hela za Usajili?

    Kwema? Nashindwa kuelewa huu Usajili wa timu yangu ya Simba Kwa Sasa. Performance ya timu kwa msimu ulioisha haikua nzuri, na ni ishara kua kulikua na mapengo kadhaa. Na kawaida mapengo ya timu yoyote huzibwa wakati wa Usajili. Sasa Kwa Usajili huu wa Simba sidhani kama kweli hesabu zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…