Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli
Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu.
Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa.
Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na...