usa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Ruto kapata zaidi ya $3B mwaka huu kutoka USA ! Samia anajiongezea PHD kapata $0

    Wakati Ruto kapata zaidi ya alipewa $1.6 B ya afya na sasa amepewa $1.7B kwasababu ya Ebola. Ebu tujiulize ni ajira ngapi zitapatikana ni zaidi ya $3B inaingia Kenya. Samia anajiongezea PHD huko Urusi kapata $0 anakuja na mashaga sijui yanasaidia nini Tanzania. Hii ndiyo tofauti ya nchi yenye...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasema kila nchi huwa ina mangenge ambayo yako nyuma serikali yenyewe Ndo yanaenesha USA na ISRAEL

    Najua wengi mnafahamu kwamba Israel wana endesha Rais wa USA kuna madoni yameweka system mkononi sema ya kule yanakula na Wananchi ya kwetu Afrika ni kausha Damu GUPTA na SA
  3. K

    JamiiForums Tanzania Is Tanzania Shifting toward Russia as new Foreign Policy? And Abandoned USA and Allies

    “Is Tanzania shifting toward Russia as a new foreign policy or cooperation strategy after President Samia’s recent Russia visit?” — the short answer is: Possibly yes, but not as an exclusive shift toward Russia. It looks more like Tanzania expanding a multi-directional economic diplomacy...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya USA kuipa kisogo Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29. Urusi ya Putin inaweza kuwa msaada?

    Naona kuna dalili kubwa kuwa taifa letu lina hali mbaya sana maana Usa na mataifa ya magharibi wamelitupa. Kukimbila kuwa karibu na Urusi kunaweza kuwa msaada kwa taifa hili ambalo mpaka sasa limechafuka dunia nzima kwa kuwa na serikali ambayo inatuhumiwa kuua watu ili ibaki madarakani? Pia...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA Government Deploys Ebola Specialists To Kenya

    The U.S. Public Health Service Commissioned Corps is deploying a team of highly trained officers to Kenya to support the care, monitoring, and quarantine of American citizens departing the Democratic Republic of the Congo as part of a coordinated interagency effort with the State Department and...
  6. JamiiForums Tanzania Section No 5 kwenye muswada wa Maseneta wa Marekani ni msiba mzito kwa CCM na Serikali yake

    Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM... Ebu soma hapa utapata jibu MAREKANI...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29

    Muswada mpya wa vyama vyote viwili (bipartisan) unalenga kuielekeza serikali ya Rais Donald Trump kufanya mageuzi makubwa katika uhusiano wa Marekani na Tanzania, kufuatia msako wa kikatili uliotokea nchini humo baada ya uchaguzi mkuu uliopita uliogubikwa na utata. Muswada huo uliowasilishwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Marekani, Mataifa ya Ulaya na Canada wanafuata

    Kwa nchi zinazojali utu, huwezi kushilikiana na serikali katili ya CCM. Kwa sasa ipi tofauti ya CCM na vikundi vya kigaidi kama Hamas, ISS, na Boko Haram. Maana wote wanaua,wote wanateka,wote wanalawiti, wote hawafati demokrasia. Kama ilivyotokea Zimbabwe, haiwezekani US akupige Pini then UK...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Polisi USA VS Polisi wa Tanzania

    Kushoto ni Polisi wa New York wakiwa darasani kujifunza mbinu za kukabiliana na majanga mbalimbali. Kulia ni Polisi wa Tanzania wakiwa kwenye maonyesho ya namna walivyo wakakamavu na wanaweza kubeba pikipiki na kukimbia nazo
  10. JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  11. R

    JamiiForums Tanzania My worry is rhis ; Mafwele does not need going to the USA

    Haya Mafwele hayamashitui maana hana haja ya kwenda Marekeni! Hivyo Pompeo you need to do more than maneno
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe USA mdabwada, Iran ameshinda?

    Nilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi! Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita! I stand to be corrected!
  13. JamiiForums Tanzania Special Thread: FIFA World Cup 2026 - Canada, Mexico & USA

    🏆 FIFA World Cup 2026 Finals Uzi Maalum. 2026 FIFA World Cup itakuwa toleo la kihistoria la Kombe la Dunia kutokana na mabadiliko makubwa katika mfumo wa mashindano. 🌍 Waandaaji Mashindano yataandaliwa kwa pamoja na: United States Canada Mexico Hii ni mara ya kwanza World Cup kuandaliwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Balozi Mteule wa USA Tanzania: Tanzania bado ni mshirika muhimu wa Marekani

    Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda. Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chancellor wa Ujerumani awalipua USA,asema Taifa la USA limedhalilishwa na Iran kwenye vita na Trump na uongozi wake wamekosa mipango

    Taifa zima la marekani limedhalilishwa na uongozi wa Iran tena haswa hao wanaoitwa Irgcc.:-Chancellor Merz -Wa Iran wananguvu ambayo haikutarajiwa na waMarekani hawana mipango ya kweli ya kushawishi hata kwenye negotiations. -Kwahali ya sasa sioni marekani kama wana mipango au maono ya...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jeshi la anga la USA limeishambulia meli ya Korea kasikazini ikiwa na askari 13,000 kuelekea Urusi?

    Je, ni upi uhalisia wa chapisho hili linalosambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii?
  17. R

    JamiiForums Tanzania NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
  18. M

    JamiiForums Tanzania Video: meli ya kivita ya USA ikionywa Iran

    https://x.com/i/status/2043323988626006518
  19. M

    JamiiForums Tanzania Washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani

    USA Imetuma timu ya washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani katika majadiliano ya kuacha vita.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara

    Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara Wakati machawa na ndugu wa Samia wakifurahia mauaji ya vijana wetu wafanyabiashara wa kimataifa hali sio nzuri maana hawawezi kwenda kuongea na wawekezaji au kampuni ubia za marekani na hii inasababisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…