urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

    Wakuu hiki ninachokiona YouTube na nyie mmeshakiona? Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine ambalo ni eneo la ukraine yan lipo ndani ya ukraine. Wakati huohuo turkey karuhusu marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kuifungia Twitter

    Urusi imerudishwa mpango wake wa kuuungia mtandao wa twitter, kwa sasa wameuongezea muda hadi Mei 15 ili waweze kuendana na sheria za Urusi. Mamlaka za Urusi Twitter zimekuwa zikiruhusu maudhui yaliyopigwa marufuku ikiwemo ponographia za watoto na kuchochea kujiua. Machi 10 Urusi ilitangaza...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi: Twitter yapigwa faini kwa kuweka maudhui yasiyoendana na Maadili ya Nchi hiyo

    Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala. Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya Urusi na Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano ya Umma (Roskomnadzor) dhidi ya Twitter ilisikilizwa katika...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dikteta Stalin wa Urusi ndiyo anashikilia rekodi ya kuagwa na watu wengi zaidi 1953

    Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa. Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi yakanusha tuhuma za kumsaidia Trump

    Urusi imeyaelezea madai ya idara za upelelezi za Marekani kuwa Rais Vladimir Putin huenda alisimamia juhudi za kujaribu kumsaidia Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani wa 2020 kuwa yasiyo na msingi. Ripoti ya ujasusi ya Marekani iliyotolewa jana imeongeza maelezo mengine kwenye tuhuma kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

    QUANTUM IMMOTALITY Wasaalam kuna mtaalamu alipata kusema "UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA" kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini. Tumejifunza vingi sana...
  7. JamiiForums Tanzania Algeria, Bolivia Kupokea Chanjo ya COVID19 ya Sputnik V kutoka Urusi

    Urusi imesaini mikataba ya kusambaza chanjo yake virusi vya corona inayoitwa Sputnik V kwa mataifa ya Algeria na Bolivia. Hii ni mara ya kwanza kwa Urusi kuanza kusambaza chanjo ya COVID19 nje ya taifa hilo ambapo inaiweka Bolivia kuwa nchi ya kwanza kwa mataifa ya Amerika Kusini kupokea chanjo...
  8. JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kirusi akutwa akiwa amefariki dunia ndani ya hoteli Zanzibar

    Mambo ndiyo kama hivi wadau! ========== Bilionea wa Kirusi, Igor Sosin amefariki kwenye mapumziko mjini Zanzibar akiwa na mwanae wa kike, Taisia pamoja na mwanamke ambae hajafahamika. Hii ni miaka mitano tangu mtoto wake wa kiume, Egor alipomnyonga mke wake wa pili na waya wa simu mwaka 2015...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani kufunga balozi zake 2 zilizopo Urusi kwa sababu za kiusalama

    Marekani inapanga kuzifunga ofisi mbili za ubalozi mdogo nchini Urusi kwa sababu ya masuala ya usalama na ulinzi. Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema ubalozi mdogo kwenye mji wa Vladivostok na mwingine kwenye mji wa Yekaterinburg ndiyo zitafungwa baada ya mashauriano na balozi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani yaziwekea vikwazo vya kiuchumi Kampuni 4 za China na Urusi kwa kusapoti teknolonia ya Nyuklia Nchini Iran

    The United States on Friday announced economic sanctions on Chinese and Russian companies that Washington said had supported the development of Iran’s missile programme. The four firms, accused of “transferring sensitive technology and items to Iran’s missile programme”, will be subject to...
  11. JamiiForums Tanzania Wababe wa kivita Urusi inapanga kujenga kambi ya Jeshi lake Afrika

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameidhinisha kuendelezwa kwa makubaliano na Sudan ya kuanzishwa kwa kambi ya jeshi katika pwani ya Bahari Nyekundi. Urusi inapanga kujenga kituo cha usafirishaji na ukarabati kwa jeshi lake la majini ambacho kitakuwa na wafanyakazi wasiozidi 300. Rasimu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Soviet Union (ussr) sasa Urusi nchi kwanza kurusha chombo anaga zambali na nchi ya kwanza kutuma chombo mwezini

    Unajua vita kuu ya pili ya dunia Warusi na Wamarekani walifanya wizi flani ambao mpaka sasa i can tell you ndio unawapa jeuri hawa washenzi. Hilter ujueri wake ndio uliompoza ila kimsingi jamaa alikua mbali sana katika mambo ya teknolijia hasa kwenye mambo ya silaha hizi, sema ndio vile ukijiona...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi kuangushwa na Uturuki katika Mgogoro wa Azerbaijan na Armenia. Je, huu ndio mwisho wa Urusi?

    Amani iwe nanyi wadau Tanzania ikiwa inaendelea na uchaguzi mataifa wawili yalikuwa vitani(Armenia na Azerbaijan). Armenia ikiungwa mkono na Urusi kwa kuwa na watu wengi wanaozungumza kirusi (Christian Orthodox) na Azerbaijan ikiungwa mkono na uturuki kwa kuwa majority ya population yao ni...
  14. JamiiForums Tanzania Simulizi kutoka St. Petersburg hadi nimepatamani Urusi

    Mzuka wanaJF Kuna jamaa tulikutana naye kwenye mechi ya mpira ni mcameroun amekaa St. Petersburg toka 2005. Tumejenga urafiki na kunipa story za Urusi. Ananisimulia St. Petersburg ukilinganisha na Copenhagen, Stockholm Oslo na Helsinki kwa pamoja haya majiji ni kama playing ground. Jiji ni...
  15. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

    Dr. Shika Hatunaye tena! Aliyewahi kuvuma kwa umaarufu katika mnada wa kununua nyumba za Lugumi! Amefariki hivi punde huko mkoani Mwanza baada ya kuugua kansa kwa mda mrefu! Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe! Taratibu za mazishi zitatolewa baadae! Hapa chini ni Sauti ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

    Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui. Inaelezwa kuwa Alexei ambaye amejipambanua kama mwanaharakati wa kupinga rushwa amewekewa sumu hiyo kwenye chai yake...
  17. JamiiForums Tanzania China na Urusi kupunguza matumizi ya dola

    Urusi na Uchina zinashirikiana kupunguza utegemezi wao kwa dola - maendeleo ambayo wataalam wengine wanasema inaweza kusababisha "muungano wa kifedha" kati yao. Katika robo ya kwanza ya 2020, sehemu ya biashara ya dola kati ya Urusi na Uchina ilianguka chini ya asilimia 50 kwa mara ya kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Urusi yaidhinishwa chanjo ya kwanza ya CoronaVirus duniani

    Rais Vladimir Putin ametangaza kuwa Urusi imeidhinisha rasmi chanjo ya COVID19 iliyotengenezwa na Taasisi ya Galameya iliyopo Mji Mkuu wa nchi hiyo, Moscow Akizungumza na Mawaziri kupitia mtandao, Rais Putin (67) amesema hii ni mara ya kwanza kwa chanjo dhidi ya CoronaVirus kuidhinishwa duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Kusafiri Kiwakati 101: Kutoka Viumbe watu wageni hadi Wanasayansi wetu wa leo || Majaribio ya Nikolai Kozyrev, Urusi

    Habari, Kumekuwa na nyuzi kadhaa humu Jamii Forums na hasa katika Jukwaa dogo la 'Jamii Intellience' kuhusiana na hamu ya kujua kama Kusafiri kiwakati ni jambo linalowezekana ama ni visa vya kubuni tu vinavyoweka katika filamu na Tamthilia za picha mwendo... Wengi wanapenda kudadisi ukweli wa...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi: Bajeti ya jeshi yapunguzwa kutokana na athari za COVID-19

    Urusi yatarajia kupunguza matumizi kwa jeshi lao kwa 5% kwa mwaka 2021 hadi 2023 kutokana na kupungua kwa bei za mafuta na janga la COVID19 lilivyoathiri uchumi wa nchi hiyo Kwa takwimu za mwaka 2019 Urusi ilikuwa ni nchi ya nne kwa matumizi makubwa ya jeshi. Pesa iliyokuwa ikitumika ilikuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…