Urusi ndani ya JF International Forums ni nchi inayokuzwa sana kiasi cha kulinganishwa na nchi namba 1 duniani US, lakini kiuhalisia Urusi hata kwa Wahindi, Wakorea, Wajapan, Wajerumani, nk hatii mguu.
Katika brands 100 Bora zinazokubalika Afrika hakuna brand hata moja ya urusi wakati huohuo US...