Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,161
- 10,879
Kuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea.
Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka na Urusi ili vita visitishwa hasa kutokana na athari mbaya za Uchumi kwa mataifa yote ya Ulaya.
Wanajeshi wa Ukraine wanazidi kukimbizana kukimbia kimbunga cha Urusi kwenye vita.