urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Urusi inataka kupitisha Sheria itakayopiga marufuku mambo yoyote yanayohusiana na LGBT

    Hii sheria inapitishwa miongoni mwa malengo ni kulinda watoto juu ya kuathiriwa na maswala yanayohusiana na LGBT nchini Urusi. Tumeona nchi kama Belarus wangese wamepigwa marufuku kabisa. Tukumbuke pia tokea hii operation ianze LGBT walikua wakipiga vita Urusi na kufikia kuchoma hata bendera...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifanya kazi Nchini Tanzania

    Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa nchi za kiafrika zinapaswa kuunga mkono Urusi katika vita vya Ukraine. Picha hiyo ilisambazwa sana...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Wakati Urusi inaendelea kuugulia kibano cha HIMARS, Ukraine wapata aina mpya nyingine ya silaha - M270 system

    Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya. ======================== Ukraine said Friday it had received its first delivery of a sophisticated rocket-launcher system...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Putin aitaka Kenya kumaliza njaa badala ya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa

    Rais wa Urusi Vladimir Putin, amelitaka Taifa la Kenya kumaliza kwanza njaa nchi Kenya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa. Putin amemfananisha Balozi wa Kenya Umoja wa Mataifa kama kijana mdogo anayejaribu kuutikisa mbuyu na kuishia
  5. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia, Aprili 20, 2022

    Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

    Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
  7. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania EU imejipiga "risasi ya ya kwenye mapafu" kwa kuiwekea vikwazo Urusi

    The European Union has “shot itself in the lungs” with ill-considered economic sanctions on Russia, which, unless rolled back, risk destroying the European economic sanctions on Russia, which, unless rolled back, risk destroying the European economy, Hungary’s prime minister has said...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

    Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema 'Uragan' ya Urusi yasababisha maafa mabaya mnoo huko Ukraine

    Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple launch rocket system (MLRS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine. Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Makombora ya Urusi yameua watu 20

    Makombora ya Urusi yaliyorushwa katikati ya Nchi ya Ukraine yameua takribani watu 20 kati yao wakiwemo watoto watatu na wengine 90 kujeruhiwa. Msaidizi Mkuu wa Polisi, Kyrylo Tymoshenko amesema makombora matatu yameharibu ofisi na makazi ya watu maeneo ya Vinnytsia ambayo yapo kilometa 268...
  12. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Canada waruhusu turbines sita kurudishwa Urusi

    The Canadian government made an exception to repair not one, but six Nord Stream turbines, for Germany, The Globe and Mail reported on July 13, citing two sources in the government. Canada's decision to return a turbine for the Nord Stream pipeline to Germany has turned out to be a wider...
  13. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya makubaliano kati ya UN, UKRAINE na URUSI inaiwezesha URUSI kuuza nafaka na mbolea bila vikwazo

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine. Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo imefikiwa kwenye mazungumzo ya mjini Istanbul kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine. Wajumbe wa Umoja wa...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha vifaru Urusi chafunga shughuli na kufukuza wafanya kazi, hali mbaya

    Ndio kiwanda pekee kilichokua kimesalia cha kutengneza vifaru, jameni aliyemuingiza Putin kwenye huu mkenge haitokuja asamehewe. The only tank manufacturer in the Russian Federation – UralVagonZavod has partially suspended production, employees have been sent on unpaid leave and financial...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inaionea wivu Urusi, Pamoja na vikwazo bado inapata pesa zaidi sasa kuliko hapo kabla. Sasa inawaza kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya Urusi

    Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi? Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine inataka zana za kijeshi za Ujerumani. Ujerumani inataka gesi ya Urusi ili kuimarisha uchumi wake. Ukraine inazuia Ujerumani kupata gesi

    Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yalalamika kuwa Iran yajiandaa kupeleka shehena za mamia ya drones zake hatari Urusi zikatumike vitani Ukraine

    Marekani inalalamika kuwa Iran inajiandaa kupeleka shehena za mamia ya drones zake Russia zikatumike Ukraine. Yahofiwa zitakuwa ni drones hatari zaidi ya zile zilizotumika kushambulia Saudia zikayavua nguo yale machuma chuma ya Marekani (Patriot air defense system) yaliyoshindwa sio tu kuzuia...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Urusi lachanganyikiwa na kurudi lilikofyatuliwa

    Hawa Warusi wamekua na commedies za ajabu, sijui wanatumia teknolojia gani hii ya hovyoo.... Kombora linarudisha salamu na kuua waliolifyatua. ===== A bizarre malfunction in mid-air lead to the rocket turning back on itself before pummelling the Russian troops who launched it in the city of...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine waanza maandalizi ya wapiganaji milioni moja ili kutwaa miji ambayo Urusi aliambulia

    Mrusi ajiandae kwa armaggedon, Ukraine wanaendelea kupata silaha kali za maangamizi makubwa na pia mzuka unazidi kuwapanda, wanajipanga kutiririka milioni moja kutwaa tumiji miji tudogo twa huko mipakani ambapo Mrusi aliambulia baada ya yeye Urusi kuingia hasara kubwa sana. --- Ukraine is...
Back
Top Bottom