urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    ■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg ■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi ■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameenda Urusi kuitisha Marekani?

    Dunia imegawanyika katika pande kuu mbili, mataifa ya Magharibi (US, EU, UK) na Mashariki (Urusi, China, North Korea, nchi za Kiarabu. Kila upande una mitazamo yake kiuchumi, kiulinzi na kidemokrasia. Wakati wa vita vya kiuchumi au vita halisi, Wamarekani huwa wana msemo wao. "Either you are...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya Kitaifa itakayoanza tarehe 3 hadi 5 Juni, 2026 kwa mualiko wa Rais wa Shirikisho la Urusi, Mheshimiwa Vladimir Putin. Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya USA kuipa kisogo Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29. Urusi ya Putin inaweza kuwa msaada?

    Naona kuna dalili kubwa kuwa taifa letu lina hali mbaya sana maana Usa na mataifa ya magharibi wamelitupa. Kukimbila kuwa karibu na Urusi kunaweza kuwa msaada kwa taifa hili ambalo mpaka sasa limechafuka dunia nzima kwa kuwa na serikali ambayo inatuhumiwa kuua watu ili ibaki madarakani? Pia...
  5. JamiiForums Tanzania ZIARA YA MH RAIS SAMIA URUSI NA "GEOPOLITICAL DIPLOMATIC SHIFT" YA DUNIA.

    Dr.Zack. June 2,2026.06:54AM. Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana. Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mama kwenda ziara Urusi ni tumekuwa loosers

    Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza? Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi chashambuliwa na Drones za Ukraine!!

    Ndege zisizo na rubani za Ukraine za masafa marefu zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine, katika mojawapo ya operesheni za ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizoripotiwa kushambulia ndani zaidi eneo la...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za Nyuklia

    Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
  9. H

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza safari za Urusi juni 2025 - Waziri Mahmoud Kombo

    ATCL KUANZA SAFARI ZA URUSI JUNI 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), linatarajia kuanza safari za ndege kuelekea nchini Urusi mnamo Juni, 2026. Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 jijini Arusha...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jeshi la anga la USA limeishambulia meli ya Korea kasikazini ikiwa na askari 13,000 kuelekea Urusi?

    Je, ni upi uhalisia wa chapisho hili linalosambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea hata kidogo urusi ,china , na korea kuingiza raia wao katika vita vya nuclia kisa iran

    Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
  12. JamiiForums Tanzania U-Super power wa China na Urusi sio halisi, ni tambo zaidi

    Kama mwendawazimu Trump na rafiki yake Netanyahu wamechafua na kuivuruga mashariki ya kati hadi kupelekea dunia nzima kuingia kwenye shida kubwa huku haya mataifa makubwa mawili yakishindwa kufanya chochote kuokoa jahazi sasa ukubwa wao una maana gani duniani?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Urusi kuongeza hatua kali zaidi kuzuia matumizi ya VPN

    Urusi inapanga kuongeza hatua kali zaidi dhidi ya matumizi ya Virtual Private Networks (VPNs), ambazo hutumiwa na mamilioni ya Warusi kukwepa udhibiti na vikwazo vya mtandao, amesema waziri wa masuala ya kidijitali wa nchi hiyo. Hatua hii inayoelezwa na baadhi ya wanadiplomasia kama “msako...
  14. JamiiForums Tanzania The financial times: Iran inapata faida kubwa kwenye vita, Urusi yaondolewa vikwazo

    AKILI NI NYWELE, KILA MTU ANA ZAKE! Mbali na kushambuliwa kijeshi, Iran inaingiaza zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 140 kwa siku kutokana na kuuza mafuta yalipanda bei. Hii ni zaidi ya Bilioni 300 za kitanzania kwa siku. Hii inamaanisha kwamba Iran ataendelea kupata mabilioni ya pesa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua wayahudi wamechangia pakubwa maendeleo ya technolojia urusi?

    Kumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hapa kuna list ya wanasayansi wakubwa wa urusi wenye asili ya kiyahudi na gunduzi zao 1. Andrei...
  16. JamiiForums Tanzania Urusi imeshindwa kuua viongozi wa kutosha wa Ukraine. Je, ni udhaifu wa jeshi la Urusi

    Je, Urusi kushindwa kuua viongozi wa nchi ya Ukraine wa kutosha kama wafanyavyo Israel na Marekani sasa kwa Iran ni udhaifu wa idara za ulinzi na usalama wa nchi ya Urusi ? Faida zipi Israel na Marekani wanapata kwa kuua viongozi wa Iran katika vita vyao ambazo Urusi ana zikosa kwa kutoua...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi haina mpango wa kuwarejesha Wakenya wanaopigana vita ya Ukraine

    Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wamesema mataifa hayo mawili hayakuwa sehemu ya mikataba iliyotiwa saini na...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ukraine yashambulia Kiwanda muhimu cha Vifaa vya makombora Nchini Urusi

    Vikosi vya Ukraine vimeshambulia kimoja kati ya "viwanda muhimu zaidi vya kijeshi" vya Urusi, kulingana na kauli ya Rais Volodymyr Zelensky. Jeshi la Ukraine lilisema kuwa makombora ya masafa marefu ya Uingereza aina ya Storm Shadow yalitumika kukishambulia kiwanda cha Kremniy El...
  19. JamiiForums Tanzania KIDUKU, CHINA, URUSI, WAKIJA ETI WATAKULINDA DHIDI YA MAREKANI WAFUKUZE, HAWAFAI

    KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe, Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete, Kiko WAPI, HAWA JAMAA Nina mashaka na UWEZO WAO KWA KWELI Yani hakuna jaribio walio zuia, ni...
  20. JamiiForums Tanzania Usahihi wa shabaha za Iran kwenye vita hii, macho ya China na Urusi yanahusika. Hasara za Marekani furaha ya China!

    Zamani, makombora mengi ya Iran yalitegemea GPS ya Marekani, ambapo Marekani aliweza kuizima au kuivuruga (jamming) wakati wa vita. Iran sasa imehamishia mifumo yake ya kijeshi kwenye mfumo wa BeiDou-3 wa CChina Mfumo huu unawapa Iran uwezo wa kulenga kitu kwa usahihi wa hadi sentimita chache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…