urithi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Rais Samia: Ngorongoro ni urithi wa dunia

    Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
  2. hamis77

    Al-Kaaba: Urithi wa Kipagani na Ibada ya Siri

    Hii ni Al-Kaaba ikiwa imetandwa shuka jeusi. Kiswah, kitambaa chenye aya za Qur’an zilizochorwa kwa uzi wa dhahabu, kimeundwa kwa vipande 41 na hubadilishwa kila mwaka. (Kaaba History, Sabir Khan) Exoteric meaning (kwa waumini au Maamuma) Hawa Mimi nawaita tabaka la chini,maamuma, huambiwa...
  3. uhuruborn

    Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

    Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
  4. The MoNA

    Shamba la Urithi

    Inaumiza kichwa sana kwani ukiwa nje huwezi kuona ya ndani (sio nje ya nchi) .. 15 ni namba iliyo leta miyegusho kwa Taifa .. lakini ilileta Nuru na mwanga kwa kizazi Mengi ambayo yalishikiliwa na wachache sasa yakawa yanapenyeshwa kwetu kwa namna ya utofauti mkubwa .... Katika picha ya...
  5. REJESHO HURU

    Tuwambie vijana vijiweni uko nchi hii ni mali yao wana haki yakupata mgao wao kama wanavyogombania kodi za nyumba ya familia za urithi

    Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
  6. DR HAYA LAND

    Urithi sio Majumba na pesa pekee ila hata ukipita sehemu kila mtu anasema Baba yako alikuwa mtu mzuri na mtu huo pia ni urithi.

    Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi. Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
  7. michu03

    Tathmini ya marais wa Tanzania: Nani ameacha urithi bora na funzo gani kwa uchaguzi mkuu 2025?

    🗳️ TATHMINI YA MARAIS WA TANZANIA: NANI AMEACHA URITHI BORA NA FUNZO GANI KWA UCHAGUZI MKUU 2025? 🔎 Utangulizi: Katika kipindi hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, ni muhimu sana kwa Watanzania kujitathmini – sio tu kwa kutumia hisia au propaganda – bali kwa kutumia akili, takwimu, na...
  8. 1Africa54

    Muhammad Ali: Safari ya Mshindi Aliyepigana Ndani na Nje ya Ulingo – Hadithi ya Ujasiri, Imani na Urithi Usiofutika

    Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
  9. Alloyce PR

    Urithi wa akili, siyo mali

    "Kijana mwenye akili muhimu kwake ni amani na upendo tu kutoka kwa wazazi/walezi. Mengine yote hujipambania mwenyewe. Mzazi anayehangaika kumrithisha mali mtoto ni kiherehere cha uzeeni ambacho kitaamua aidha ni mtoto awe mzazi na mzazi awe mtoto, hapo mzazi lazima aondoke haraka sana kwenye...
  10. M

    Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

    je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ? video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
  12. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
  13. Mshana Jr

    Jina zuri na urithi una thamani zaidi ya Fedha na Dhahabu

    "Elon Musk alijitolea kununua tuzo yangu ya Ballon d'Or yangu kwa $1-bilioni lakini nilikataa ofa hiyo." __ George Weah Tuzo yangu ya "Ballon d'Or yangu sio tu mafanikio yangu makubwa katika soka yangu lakini ni tuzo pekee ya Ballon d'Or pekee barani Afrika. Hata kama mtu tajiri zaidi...
  14. Damian Wayne

    Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake. Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
  15. Bepari la Kinyambo

    Watoto nje ya ndoa wanaweza kupata urithi?

    Wakuu Je watoto wa nje ya ndoa wanahusika kwenye mirathi
  16. U

    Watoto wawili wa mpigania uhuru maarufu Mzee John Rupia wapambana mahakamani wakigombea nyumba ya urithi ya ghorofa mtaa wa msimbazi

    Wadau hamjamboni nyote? Picha Wakili Peter Madeleka (kushoto) akiteta jambo na mteja wake, John Robert Rupia, katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi, kabla ya kuanza kusikiliza kesi ya mgogoro wa ghorofa liliopo Kariakoo makutano ya Masimbazi na Uhuru ambapo leo kesi hiyo ni kwa...
  17. Harvey Specter

    Je Usawa wa Kijinsia katika Umiliki Ardhi za Urithi na Ulipaji wa Fidia kabla ya Utwaaji wa Ardhi vitapatiwa utatuzi wa kudumu? SERA YA TAIFA YA ARDHI

    Tarehe 17 Machi, 2025, Rais Samia alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la 2023) Sera hiyo inalenga kutoa mwongozo wa jumla kuhusu utawala na usimamizi wa ardhi kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa, mipango ya maendeleo ya Taifa na mabadiliko ya kiuchumi, kisayansi na...
  18. The ice breaker

    Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

    Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema .. Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa. Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane .. Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia .. Kesho...
  19. Dogoli kinyamkela

    Usikatae urithi wa asili kutoka kwa wahenga

    L Kila kitu kizuri nyuma yake kina ubaya Tunza hekima ya wahenga uliyorithishwa kusaidia watu nasio kuwaaumiza wengine Sheria ya uchawi inasema 👇👇 Fanya uwezavyo kwa kutumia uchawi ila usimdhuru mtu 🚶Tenda wema nenda zako 🚶 BRAZA CHOGO BICHWA KOMWE - Nikifa MkeWangu Asiolewe Tumwesige senior
  20. Sir John Deere

    Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
Back
Top Bottom