HARAKATI ZA URAIS 2030.

HARAKATI ZA URAIS 2030.

Enock47

Member
Joined
Jun 3, 2026
Posts
13
Reaction score
15
Hivi karibuni tumeshuhudia makundi yakianza kucheza karata.

Historia ya CCM ni ngumu VP,PM kushinda mchakato. Je, 2030 wataweza kupita?
 
Mbali na kupita je wata toboa hio 2030
Wakiwa kwenye nyadhifa zao?
Vipi wanaotokea pembeni , wakina makamba, riziwan, majaliwa, makonda, team ya mama kule visiwani nk?
Ni mtanange .
 
Wampitishe SITI NYAHOZA au jaji MITUNGI maana kawabeba SANA miaka hii 15 bila hawa serikal ya CHICHIEMU ingekuwa jalalani

au wampe AIJIPII maana kwenye sanduku la kura amewabeba SANA tena ILE OKTOBOA YA 29 maj wangeita mma
 
Back
Top Bottom