#JanuaryMakambaForThePresidency2030
Wadau hamjamboni?
Ukweli lazima usemwe tu haya kama muda wa kuusema haujafika.
Ndiyo January Malamba ndiye chaguo sahihi la Watanzania kuelekea 2030
Naam anazo sifa zote, uchapakazi, weledi, uzoefu wa kutosha kuanzia awamu ya 3 hadi sasa.
Anao uzoefu...
Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana
Aendelee kuwa chini ya watu wengine
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa.
Usimamizi mzuri wa JNHP huko rufiji.
Baada ya Samia kukamata hatamu tumeshuhudia nguvu ya matajiri kupanga safu maeneo nyeti ya raslimali...
Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni.
Niliwapa jina la Three the Hard Way.
Safari inaendelea japo naona Dkt. Kigwangalla ameachwa nyuma kidogo lakini kwenye Marathon ushindi ni mbinu na ujanja so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.