ura

URA House, also URA Tower, is a building in Uganda, that serves as the headquarters of Uganda Revenue Authority (URA).

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Rais Ruto: Kama Mwanaume akigombea Urais Mgombea Mwenza awe mwanamke

    Rais Ruto amesisitiza hilo leo Alhamis 7/3/2024 kuwa ataendelea kuhakikisha sheria ya 2/3 ya jinsia imetekelezwa kikamilifu katika chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) na katika serikali ya Kenya Kwanza kwa ujumla. Katika uzinduzi wa Mkakati wa Baraza la Magavana Wanawake G7 jijini...
  2. Roving Journalist

    Naibu Waziri Sagini azindua mfumo wa Kidigitali wa URA Mobile Money

    Jeshi la Polisi nchini limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao (URA MOBILE MONEY) utakaotumika na Viongozi pia Wanachama wa URA SACCOS katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Jijini Dar es Salaam Leo Septemba 30, 2023. Akizungumza katika hafla fupi ya Uzinduzi wa Mfumo huo Mgeni...
  3. Roving Journalist

    URA SACCOS yatoa vifaa tiba kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Chama cha Akiba na Mikopo cha Jeshi la Polisi Tanzania, URA SACCOS kimekabidhi vifaa tiba pamoja na kompyuta kwa vikosi vya Jeshi la Polisi Tanzania. Vifaa hivyo ni pamoja na vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Jeshi hilo iliyopo Kunduchi, Simiyu na Kumpyuta kwa ajili ya Kikosi cha Ufundi na...
  4. beth

    Uganda: Akamatwa na karatasi zinazobadilika kuwa dola bandia

    Mamlaka ya Mapato nchini Uganda (URA), imemkamata Duach Toang, Raia wa Sudan Kusini, akiwa na karatasi zenye usawa wa dola na kemikali ambayo ukiimwaga, karatasi hizo hubadilika na kuwa dola ambazo ni bandia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo imeeleza kuwa Duach alikamatwa...
Back
Top Bottom