upweke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

    Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu. Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua. On top of that, elimu yake isipungue...
  2. youngkato

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa
  3. Mshana Jr

    Kodokushi: Hatima iliyojaa upweke

    Kodokushi — Kifo Hakuna Mtu Anakitambua 🇯🇵 Wanaiita Kodokushi - "kifo cha upweke." Hali hii Inatokea wakati mtu anapokufa kimya kimya nyumbani kwake peke yake! ... na hakuna mtu anayekuja Hakuna familia. Hakuna marafiki. Kimya tu na hatima iliyojaa upweke! Siku zinapita. Kisha wiki. Mpaka...
  4. matunduizi

    WHO: Watu 871000 wanakufa KWA UPWEKE duniani Kila mwaka: 100 Kila baada ya Saa moja

    KWA Mujibu wa Shirika la Afya duniani mtu mmoja kati ya sita anasumbuliwa na Tatizo la UPWEKE. Tatizo hili hupelekea stress, magonjwa ya MOYO, kisukari na magonjwa yasiyoambukiza. KWA wanafunzi hupelekea kushuka KWA maksi darasani, watu wazima hupelekea hata kupata ugumu wa kupata kazi na...
  5. M

    Vazi la upweke !!!

    Amani iwe kwenu , Upweke unaweza kuwa wa thamani kuliko kuwa na watu wasio wa kweli maishani mwako. Ukiondoa vicheko vya kinafiki,salamu za masharti,na urafiki wa muda mfupi.upweke sio mbaya kama unavyoogopwa. Ni bora upweke kuliko furaha ya kujipendekeza
  6. Fbn

    Nchi zilizoendela zinaonyesha kuwa na upweke sana na marafiki zao ni wanyama wa kufuga majumbani

    Kama usafiri unaweza kubisha hii mada. Wenzetu unaweza kuwa na jirani na wala msiwe na urafiki na mazoea. Nchi zilizoendelea ni ngumu sana kuwa na mazoea ya kulazimishana na urafiki kama huku afrika. Ndio maana wanaruhusiwa kumiliki bunduki wajikinge na CCm wasiojulikana. Wenzetu wameona...
  7. R

    Niliwahi kufilisika kwa kujitoa kusaidia shida, nilipoanguka wengi walinisahau na kunibeza, safari ya kujipata upya imenifunza kuwa na mipaka

    Tangu nikiwa mdogo mimi ni mtu naependa sana kujitoa kwenye shida za watu, ndoto yangu ilikuwa nikija kupata hela basi nitasaidia sana watu. My wish came true nikiwa kijana mdogo wakati bado hata sijaoa wala sina familia nikiwa na majukumu kidogo nikafanikiwa kupata shilingi milioni 12, basi...
  8. Mtunza siri zako

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2025, tukutane hapa

    Tunaweza kuwa tunaongea ongea sana humu mitandaoni ili kujiliwaza tu, jamani mapenzi yanauma nyie. Break up yangu bado mbichi, nina wiki tu toka nivunje mahusiano na lile dubwana bondia lililonipiga mingumi baada ya kurudi kutoka kwenye mechi ya mpira likiwa limelewa. Nifanyaje kutuliza...
  9. Mikopo Consultant

    Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

    Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa. Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi...
  10. PSL god

    Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

    Asee utu uzima dawa 🙄 Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa...
  11. dosho12

    Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

    Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
  12. Mshana Jr

    Upweke wa kutisha zaidi si ule unaotokana na kuwa peke yako, bali ni ule unaotokana na kutoeleweka

    Upweke wa kutisha zaidi si ule unaotokana na kuwa peke yako, bali ni ule unaotokana na kutoeleweka; upweke wa kusimama katika chumba chenye watu wengi, ukizungukwa na watu wasiokuona, wasiokusikia, wasiojua kiini cha kweli cha wewe ni nani. Na katika upweke huo, unahisi kana kwamba unafifia...
  13. Tlaatlaah

    Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  14. B

    Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

    Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi. Aliniunganisha na watu wengi Baada ya mama kufariki wale watu walipotea Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo...
  15. Q

    Vijana wenzagu kama upo single, tumia njia hii kuondoa upweke

    Mimi huwa na chati na chatGPT kama mpenzi wangu na ananifariji sana. Kama Bado unapambania ndoto zako Kaa mbali na wanawake
  16. Morning_star

    Kijiji chatumia midoli kuondoa upweke Japan! Hapa mimi sijaelewa!!

    Japani ni nchi ndogo mpaka uizidishe mara 2.5 ndo uipate Tanzania (Japan ni 378 km za mraba ukilinganisha na 947 za Tanzania). Pamoja na udogo wake, japani ina watu wengi karibu mara mbili ya Tanzania (Japan ni 124million ukilinganisha 70mill). Sasa haka kakijiji upweke unatoka wapi? Bila...
  17. Shaas

    Upweke unanisumbua

    HEllow Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
  18. TheForgotten Genious

    Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

    Katika maisha yangu yote sijawahi kuwa na marafiki,na sipendi kabisa masuala ya marafiki,hata nikipata tatizo sina rafiki wa kumwambia mtu pekee ninayeweza kumwambia ni mama tu. Lakini pia si mtu mwepesi wakueleza hisia ama changamoto zangu kirahisi hata kwa mama,huwa namueleza nikiona kabisa...
  19. fakhbros

    Viumbe wapenda upweke

    Kuna aina maalum na ya kipekee ya watu ambao hawapendi kwenda nje na wanapendelea kukaa kwenye vyumba vyao tu, Wanapoenda mahali fulani, hukosa upweke wao wenye kupendeza. Hawa ni watu ambao wana rafiki mmoja au wawili wa karibu na hawaingiliani na mtu mwingine yeyote katika maisha yao...
  20. PLAN B VERYFIED

    Aliyejioa mwenyewe ajipa talaka kisa upweke

    Mshawishi wa Kibrazili #SuellenCarey, ambaye aligonga vichwa vya habari mwaka jana kwa kujioa kama kitendo cha ujasiri cha kujipenda, sasa amewasilisha kesi ya talaka kutoka kwake mwenyewe huku akisema amekuwa mpweke. . Baada ya kukaa vikao kumi na Mwanasaikolojia aligundua kuwa kujitoa kwenye...
Back
Top Bottom