upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Njia ya kupokea Upendo ni kuutoa kwanza.

    Bila kuanza kutoa huwezi kupokea, hii ni Kanuni ya asili ya ulimwengu aliyoweka muumbaji, hata walimu wa theolojia wanatufundisha kwamba upendo wa Mungu upo maximum and constant haupungi Wala hauongezeki. Hivyo unachotakiwa kuusogelea karibu ili uweze kuufaidi, na huko kuusogelea karibu ndio...
  2. Hii ni upendo au ni nn wadau

    Mm nikijana nina miaka 28 ivi nina mke na mtoto mmoja mwanangu anaitwa Rose. Sasa hiki kituu ni kitambo na kinaniumiza sana. Iko hivii siku moja nimeamka niko hovyo sana akiba sina Rose alitoka kuumwaa so nikawa sina hata ile sent moja hata wa kumkopa sina. Nilimpigia bimkubwa hana masista...
  3. B

    Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  4. Ni kwanini ccm wana upendo mkubwa kwa Freeman Aikaeli Mbowe?

    Wasalaam Nimekua nashangaa sana kila kukicha viongozi wengi wa ccm wanataka mbowe awe mwenyekiti wa chadema wa kudumu. Najiuliza tu huu ni upendo wa dhati au ni mahaba? Je huenda ni kweli zile tetesi kwamba mbowe ni pandikizi la ccm kuidhoofisha chadema ili isishike dola? Maana kuna kampeni...
  5. Upendo ni hazina

    Tuwafundishe watoto wetu upendo kama hazina ya maisha
  6. FUNZO..Nilidhani ex wangu amerudi sababu ya upendo kumbe ana mimba ya jamaa yake amemtelekeza!

    Nisiwachoshe sana, kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana, ila yeye hakunipenda alimpenda mshikaji mwingine, lakini kwa sababu nilihofia kumpoteza binti mrembo kama yule niliendelea kubembeleza penzi na kujipa imani kuwa '0ne day atanielewa na atakuwa sababu hata yule mshikaji mwingine alikuwa...
  7. Usiumize watu wenye mioyo halisi ya upendo

    USIUMIZE WATU WENYE MIOYO HALISI YA UPENDO : Unapowaumiza watu wenye mioyo halisi na ya upendo wa dhati Kwanza hautagundua matokeo yake mapema kwa yale maumivu unayo watia🥵🧐🥺 : Hawatanyanyua sauti zao juu kukupazia,Bali machozi na huzuni vitazuka ndani yao🤮🤫 Wala hawazusha kesi,wala kuleta...
  8. B

    Neno "tafuta hela" limeua dhana nzima ya neno" mahusiano" na" upendo"

    Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu...
  9. LGE2024 Dotto Biteko: Jitokezeni kupiga kura ili "kumlipa" Samia kwa upendo kufuatia miradi mbalimbali ya maendeleo

    Wakuu, Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais? Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi ya maendeleo iliyotekelezwa...
  10. L

    Rais Samia amejaa Upendo na Huruma kubwa sana kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu tutateseka ,kuhangaika na kuchukua muda mrefu .basi ni kumpata Kiongozi Mwingine aina ya Rais Samia katika Taifa hili.Kiongozi mwenye huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania. Rais Samia Ni kiongozi ambaye anapozungumza juu ya Maisha ya watanzania...
  11. R

    Je huyu binti ana upendo na Mimi kweli?

    Habari wana JF,ipo hivi Kuna binti mgeni hapa mtaani kwetu, aliletwa familia moja awasaidie kazi za ndani. Si mnajua Tena akija mwanamke mpya lazima wanaume waanze process za kumunyatia. kifupi huyu manzi nilitokea kuvutiwa nae,si mnajua warang walivyo wazuri Siku moja natoka job nikakutana...
  12. Vidokezo vitatu vya kufanya upendo wako ufanye kazi

    Upendo haupaswi kuumiza yeyote. Ikiwa unachotaka ni upendo unaodumu, unaweza kuupata hakika... There’s nothing wrong with you. And there’s nothing wrong with the one who broke your heart.. Hapa kuna vidokezo vitatu… Moja, upendo wa kudumu ni ujuzi, hauji kwa bahati. Love can be...
  13. B

    Chaguzi si uadui tujifunze kwa wenzetu waliko busy kugawa upendo. Trump apika na kugawa chipsi mgahawani!

    Chaguzi hushindwa kwa kuwavutia wapiga kura: Chaguzi hazishidwi kwa shinikizo au wizi: Kuna ya kujifunza hapa kama tuna macho lau masikio!
  14. B

    Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
  15. Walio wengi hawaelewi nini maana ya Upendo na Ukoje.

    Niseme machache huku nikitamani kusikia testimonies za wengine zinasemaje. Upendo: Tunajifunza kupitia watu walio tuzunguka na matukio yanayotuzunguka. Pia kupitia Elimu mashuleni na Media imebeba nafasi kubwa ya kutujuza mambo mengi.. Ukiangalia hata zile movie za Kanumba na Ray zina maudhui...
  16. Tanzania ya Rais Samia ndiyo tunaitaka kwani ni ya amani, utu na upendo na wala hakuna mauwaji na mabaya kama ya kwingineko duniani

    Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  17. Unajisifu una hela lakini umetelekeza mtoto

    📖Mhadhara wa 25: Mwanaume unaanzaje kukimbia majukumu ya kulea mtoto au watoto wako. Mwanaume rijali aliyekamilika hakimbii majukumu ya kulea damu yake, anaweza kumkimbia mwanamke aliyezaa nae lakini kamwe hakimbii jukumu la kumlea mtoto. Iwapo mwanaume rijali atamkimbia mwanamke aliyezaa nae...
  18. Waafrika Upendo wa Dhati hatuna

    Kiukweli sisi waafrika hatuna upendo kabisa. Ni kitu ambacho kama tunajilazimisha tu kuwa nacho ila ndani yetu hakipo. Sio kwa wote ila kwa wengi wetu hatuna upendo. Badala ya upendo mwafrika kaumbiwa sifa. Aisee sisi watu tunapenda sifa haijawahi tokea duniani. Angalia tu misafara ya viongozi...
  19. MOYO ULIOJAA BARAKA NA UPENDO:

    Amebarikiwa mwanaume anayeingia katika maisha ya mwanamke kwa nia ya kweli na ikhlasi. Yeye ndiye anayempa usalama na kumfanya ajisikie mrembo, mwenye kujiamini, na mwenye akili. Anamwalika katika ulimwengu wake wa matukio na zaidi ya yote, anahakikisha anahisi kupendwa, kuheshimiwa na...
  20. L

    Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…