Habari.
Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z.
Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari.
Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa...
Habari wanaJF,
Kwanza kabisa suala hili la Polepole limenisikitisha sana ila Kuna maswali najiuliza huyu ambaye anajulikana Kama Mafwele ametajwa kwenye masuala ya utekaji mengi kwanini asichuliwe hatua nimeshangaa pia katajwa kwenye hili tukio la Polepole yeye ni Nani asichuliwe hatua?
Haya...
Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
Mwongozo upo wazi kabisa na ulitolewa na Jaji mkuu wa Tanzania.
Hii ilikuwa ni kupunguza mrundikano wa mahabusu.
Sasa kama Jamhuri haikamilisha upelelezi kwa nini Lissu alikamatwa na
kupandishwa mahakamani.
Kama makosa ni kuchapisha maneno na kutamka maneno ya uchochezi na uhaini upelelezi...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa
Akizungumza mbele ya Mahakama katika kesi hiyo inayoendelea kwa njia ya mtandao Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeshindwa kuendelea na kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili msanii Joyce Mbaga, maarufu kama Nicole, kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika. Mbali na Nicole (32), mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni Rehema Mahanhu. Wote wawili walifikishwa...
Nani ameangalia show mpya ya OJ Simpson ya 2025 on Netflix? imefocus zaidi kwenye upelelezi, uwasilishwaji wa ushahidi mahakamani na influence ya media mbali na mambo mengine.
Kuna somo kubwa la namna makosa ya polisi baada ya mauaji kutokea na court of public opinion na yanaweza kusababisha...
Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia?
Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa zinazokusanywa kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
Ni sababu zipi zinazowafanya watu hawa kuwa tayari...
Na Mwandishi Wetu, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mfanyabiashara na Mwekezaji Saleh Salim Alamry (54) na mwenzake wakili Sheck Mfinanga, kuharakisha upelelezi wa shauri hilo ili kesi ya msingi ianze kusikilizwa...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameshindwa kuitikia wito aliopewa na Jeshi la Polisi kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kinondoni kuhojiwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa kada wa chama hicho, Ali Kibao.
Wito wa polisi ulitolewa Septemba 16, 2024 na Mkuu wa Upelelezi Mkoa...
Afisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi.
Askari huyo anatuhumiwa kumvunja mguu wa kushoto Peter Charles (21), mkazi wa Daraja II, jijini Arusha Juni 6, 2024...
Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa.
Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
Ni Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Watumishi wa TANESCO Mkoa wa Mwanza, Abdukadri Lwassa (Fundi) na Respicius Rwegoshora (Afisa Bohari) imeshindwa kuendelea kutokana na upelelezi kutokamilika.
Watumishi hao wanakabiliwa na mashtaka 125 yakiwemo ya Kughushi Nyaraka, Ubadhirifu wa Mali ya...
Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili watumishi 16 wakiwemo wahasibu wa Jiji la Dar es Salaam umedai upelelezi umekamilika wanaandaa taarifa kwa ajili ya kuituma Mahakama Kuu.
Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 143 likiwemo la kuisababishia hasara jiji hilo zaidi ya Sh8.9 bilioni...
Upelelezi katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi na Mratibu wa Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP) Edward Haule, bado haujakamilika.
Mwakabibi na Haule, wanakabiliwa na mashtaka mawili ya matumizi mabaya ya...
SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO
Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa.
Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao...
Baada aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, mkoani Kilimanjaro kusota kwa takribani siku 302 rumande kwa kesi namba 2 ya hujumu uchumi pamoja na utakatishaji wa fedha upande wa Jamhuri umesema upelelezi umekamilika na kuomba tarehe ya karibu kwa ajili ya kufaili vibali.
Akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.