upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Geti la Jahanamu wanalotaka kulifungulia Trump na Netanyahu huko Gaza, waangalie vyema lisije likafungukia upande wao

    Bado nasimamia kwamba Trump na Netanyahu wamechanganyikiwa kuhusiana na wapalestina na hasa Hamas. Wanapenda na wangetamani vita vingekwisha na kutangaza ushindi.Jambo hilo ni gumu kwa sasa na Hamas wameganda bado huko Gaza. Katika nyakati tofauti raisi Trump na mwenzake huyo wametoa matamshi...
  2. JamiiForums Tanzania Visasiri, Upande wa tatu wa noti(banknote).

    Peace||amani iwe nawe ✌🏾 Achana na ule upande wa pili wa Shilingi(sarafu), noti 💵 inapande tatu ukiachana na zile mbili zinazofahamika. Upande wa tatu wa noti una picha au alama iliyowekwa na kudezainiwa kwa ustadi wa hali Ya juu kiasi kwamba unaweza usiitambue hiyo alama au usijue kama...
  3. JamiiForums Tanzania Goma: upande wa serikali wapoteza takribani watu 2500

    Katika zoezi linaloendelea huko mjini Goma, la kusafisha mji, shirika la msaraba mwekundu, limesema mpaka sasa zoezi la kuzika maiti zilizozagaa mjini linaendelea, na kwamba idadi ya waliokwisha zikwa imefika watu 2500(elfu mbili mia tano). Watu hawa, inasemekana ni wanajeshi wa FARDC na kundi...
  4. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  5. JamiiForums Tanzania Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe vs Lissu = Mtoto wa mjini VS Bushman.. Wewe upande Upi?

    Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu. Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine. Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi. So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo. Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi...
  8. JamiiForums Tanzania Hongereni Usalama wote ambao mmeamua kuwa upande wa raia na nchi, kuwa wazalendo.Kazi yenu tunaiona

    Uzi tayari "Wewe jamaa naye ni great thinker?!?"
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotibika Bells Palsy/Facial Paralysis (Uso kupooza upande mmoja)

    Hello all, Ninapenda kushare nanyi nilivyotibika tatizo la uso kupooza. Ninafanya hivi kumsaidia mtu yeyote ikitokea amekutana na changamoto kama hii. Niligundua wakati naswaki usiku najaribu kusukutua mdomo unagoma hauna uwezo wa kuhold maji mdomoni nikapata panick attack moja ya heshima...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kupooza Uso/mdomo (Facial Paralysis): Mdomo kusogea upande: Visababishi na Matibabu

    Picha kwa hisani ya Google. Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya mishipa ya fahamu ya uso/mdomo (facial nerve) ambayo husimamia na kuendesha utendaji kazi wa misuli ya...
  11. JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la mdomo kulemaa/kusogea upande huwa linasababishwa na nini?

    Kuna hili tatizo la mdomo kusogea pembeni ambalo humpata mtu akiwa na umri mkubwa kubisa. Kuna watu wawili ambao nawafahamu vizuri tu wamewahi kukutwa na hiya hali, kimtaa hakuna jibu nimeweza kulipata zaidi ya kuwa wamerogwa/wametupiwa majini. Wakuu naombeni majawabu kwenye hili. Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbona Wenje anatoa siri za Kamati upande wa pili wanamwona shujaa akisema Lissu mnasema mropokaji kweli Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa anaelekea kufa

    Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji, Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu hawa ndo wanachama bora kwa mwaka mwaka 2024

    Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa . Sitomuelezea Sana maana huyu ndo GOAT wa JF great of all time tangia jamiiforum imeanzishwa huyo ndo mwanachama bora wa muda wote...
  16. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema kuingia maombini kupata upande sahihi wa kuunga mkono Uchaguzi Chadema Taifa

    MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho. Amesema muda si mrefu ataonesha ni upande gani anaounga mkono kati ya...
  18. JamiiForums Tanzania Meli ya MV Serengeti yazama upande

    Meli ya MV Serengeti iliyokuwa imefungwa katika gati ya bandari ya Mwanza Kusini imezama upande mmoja wa nyuma majini usiku wa kuamkia leo Desemba 27, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO)na kueleza kuwa MV Serengeti ilisimama kufanya safari zake mwaka 2016 wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Wasomi wengi na wanaopenda elimu wanamuunga Tundu Lisu kugombea uenyekiti. Upande ule wengi wao elimu yao ni tiamaji tiamaji

    Habari Wakuu! Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti. Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi CHADEMA: Aliye kipenzi cha upande unaotia shaka

    Mshikemshike nguo kuchanika unazidi kushika kasi, pale nafasi ya M/Taifa wa CDM inapokwenda kushikwa tena katika kipindi kijacho cha miaka mingine mitano. Miamba wakubwa wawili wamejotokeza kugombea natasi hii nyeti sana ndani ya chama kikuu cha upinzani. Hizi kambi kubwa mbili zinatofautiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…