1.Ni muda mrefu sasa sijapost thread yoyote nimekuwa na maisha mazuri Sana japo yenye changamoto nyingi.mambo ni mengi but najiskia pia faraja hatimaye nimekuwa Baba,Baba grace amezaliwa ana kama week mbili ni faraja kwa familia yangu hasa ukizingatia hofu Ile ya matumizi ya pombe Kali kwa muda...