upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Korea ya Kusini imepaniki kwa taarifa zisizothibitishwa kuwa askari wa Korea ya Kaskazini wanapigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine

    Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!! po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia...
  2. JamiiForums Tanzania Tourism Value chain upande wa Vyakula kuna shida sana Tanzania

    Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu; 1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya 2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge 3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari. 4. Maduka ya vinyago 5.Wamiliki wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili walikuwa wanamsikia tu king ateba: Leo watamwona!

    Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
  4. JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa ndoa

    Siku mbili tangu ziibuke taharuki na malumbano katika Mtaa wa Mabibo Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam baada ya nyumba zaidi ya nne na fremu zaidi ya tano kuvunjwa licha ya Mahakama kutoa zuio kwakuwa eneo lina mgogoro kati ya Mume na Mkewe. Anayedaiwa kununua eneo hilo amerudi tena na...
  5. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    aljazeeraenglish The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠ .⁠ #Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nasumbukiwa na maumivu ya upande wa kulia wa kifua na mbavu

    Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua nikijaribu kuvuta pumzika nyingi kuijaza kifuani maeneo ya mbavu na kwa ndani nahisi Kama Kuna kitu nakitinesha ila...
  7. JamiiForums Tanzania Deschamps ashangaa Mbappe kuipotezea Ufaransa upande wa pili akubali kuichezea Real Madrid

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid. Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Utofauti kupata kazi Wizarani na halmashauri upoje upande wa maslahi kwa anaejua?

    Anayeweza kutupa madini apo kutokana na experience.
  9. JamiiForums Tanzania Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

    Marjayoun- Lebanon. Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90 Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
  10. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati wilaya ya Uyui upande wa maafisa utumishi wamekuwa wakiomba rushwa

    Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao. Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini. Ukifuatilia kwa umakini...
  11. JamiiForums Tanzania Raisi wa Israel,Isaac Herzog aiomba dunia iwe upande wao kuwashinda Hamas ili kuwarejesha mateka wao waliopo Gaza.

    Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama. Salamu hizo kwa dunia nzima kutoka kwa raisi huyo zimetolewa wakati ambapo vita hivyo vinakaribia kutiimima mwaka mmoja na huku...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watanzani wasikuwa upande wa CDM ni Wajinga ndio manaa wanapenda Simba na Yanga

    Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM. Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam. Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
  14. JamiiForums Tanzania Mfundishe mwanao kujua upande mwingine wa dunia kwa kumuonesha chaneli za tv kama nat geo, history, etc sio kila muda ni komasava

    Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake. Anyway sio...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

    Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo. Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata discomfort upande wangu wa kushoto

    Naomba mnisaidie wadau, Mwaka jana nilipatwa na tatizo la shinikizo la juu la damu lakini wauguzi walinishauri na kuniambia ni tatizo la kupita hamna haja ya kutumia dawa za presa lakini kwa sasa ni takribani mwaka sasa kuna maumivu kwenye upande wangu wa kushoto. Maumivu hayo huwa nayasikia...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  18. JamiiForums Tanzania Simba queens yaondolewa kuwania nafasi kucheza cafcl upande wa wanawake

    Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba "Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko
  19. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  20. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia katika Jamii yetu yoyote mkiwa na Mtu asiyeeleweka eleweka ni HATARI sana kwani Binadamu ni lazima uwe na Upande juu ya Jambo fulani

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…