Wahudumu wa Airtel ni uozo

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,816
8,666
Habari za muda huu,

Kama kuna muajiri wa Airtel humu wahudumu wako ni hovyo kabixa yan unapiga simu wanaongea na mteja kama kuna ugomvi hasa wanawake ni hovyo kabisa ondoeni hizo takataka zinawaharibia kazi na kama mko humu mjirekebishe mnaharibu na kuchafua kazi za watu kama umechoka andila barua uache kazi.

Asante
 
Hata unipe line ya airtel yenye gb20000 sichukui mtandao wa ovyo sana
 
Kabixa ni lugha ya mashosti. Je, wewe ni shosti tukuungie kifurushi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom