Misimamo mikali ya aina yoyote haifai. Tunakosea sana tunapowagawa makardinali katika makundi mawili haya ya kiholela. Kufanya hivyo ni sawa na kulichukulia Kanisa kama taasisi ya kawaida kama vile IMF au Benki ya Dunia, badala ya kulitazama kama Mwili wa Fumbo wa Kristo.
Baba Mtakatifu ni...
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
Maana kumepwaya kila idara ya chama. Ni kama vile kunakupoteana vile.
Hakuna anaeaminika na wa kutoa uelekeo thabiti wa chama, kwasababu ya njaa kali, unyonge wa kipato na woga. Hakuna matumani kwa wanachadema kabisa.
Kitu kizuri ni kwamba kila mwanachadema anaendelea kujishughulisha na...
Matatizo mapya makubwa Tanzania ni
1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa.
2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa...
Jana jumamosi tarehe 5 ilikuwa ni graduation kwa wanafunzi wa form Six Baobab high school Bagamoyo.
Kuna tatizo Sugu kuhusu huduma ya vyakula siku ya visiting day au mahafali huruhusiwi kwenda na chakula chako au bites zozote kutoka nje, ili swala tumelijadili muda mrefu kwenye vikao rasmi...
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na...
Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee mambo ambayo hayakupaswa kusemwa ili kila mtu ajue mwanzo wa dhamira zilivyo kuwa na hata sasa...
Amani iwe nanyi Wanabodi,
Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao.
Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
Uongozi wote wa Manispaa ya Kinondoni kuna haja ya kujitafakari:
Stand ya daladala Bunju imehamishiwa barabara kuu ya Bagamoyo Manispaa imeshindwa kujenga standi hata ya changarawe. Matokea yake ni ajali na kugongwa kwa wananchi.
Kata zote Barabara wananchi wanajichangisha wenyewe kulipia...
Tukio la kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Sigrada Mligo, na mlinzi wa makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Noel Ilivale, ni tukio linalosikitisha na linastahili kulaaniwa kwa nguvu zote. Tukio hili linavunja kabisa...
Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.
no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi waandamizi wa chadema yenyewe.
mchongo pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone kitaifa umekgomewa na...
Kuanzia mwaka 2021, nimepata uzoefu mkubwa katika uongozi na uongozi wa watu kupitia mbinu mbalimbali zisizo za kawaida. Katika kipindi hiki, nimejifunza kuwa uongozi si tu kuhusu mamlaka, bali pia ni kuhusu uwezo wa kuhamasisha na kuungana na watu.
Katika mazingira ya kisasa, ambapo viongozi...
UONGOZI wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga umeihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi kwamba mbali na kushiriki kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya afya, pia itaelekeza nguvu katika kusaidia jamii inayozunguka...
Wakuu,
Mdau humu alihoji bilioni mbili zimetumikaje kwenye soko ambalo limejaa bati tu na vijumba vi fremu vya mchongo? Jamaa wamekuja na ufafanuzi, kuwa bilioni 1.5 ndio zimetumika kwenye ujenzi wa soko hilo na milioni 500 ndio zinamalizia awamu ya 2.
Hii inamaanisha watakuwa washatumia kama...
Nitawashangaa Kama Mtakubali Kupeleka Timu kwa Tarehe Itakayopangwa. Mkumbuke Mna Sakata la Kumitmua Kocha Miguel Gamond Siku Chache Kabla ya Kuanza Kwa Mashindano ya Klabu Bingwa Hali iliyopelekea Timu Kutofanya Vizuri Kwenye Mashindano Hayo.
Hili Liliwakwaza Sana Mashabiki Wenu, Uvumilivu...
Katika kumbukizi ya Miaka minne ya kifo cha Magufuli yaliyoazimishwa Wilayani chato, Binti wa HAYATI Magufuli, Jesca alihutubia mamia ya wanacchi waliohudhuria katika Ibada hiyo. Moja ya sehemu ya hotuba yake nanukuu "katika safari yake ya uongozi ALIJIFUNZA toka kwa viongozi waliomtangulia...
Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa..Manara anapata wapi ujasiri wa kuisemaea yanga..Manara ni nani kwenye uongozi wa yanga...Manara ndio mratibu mkubwa wa mambo ya kitoto kwa kisingizio cha utani wa jadi...Manara anasahau kama anadhalilisha watu....juzi kati alimdhalilisha askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.