Alloyce PR: Uongozi wa Kweli Hauanzi na Cheo

Alloyce PR: Uongozi wa Kweli Hauanzi na Cheo

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
808
Reaction score
873
"Mwanasiasa anayesubiri kuwa Diwani, Mbunge, au Rais ndipo aanze kufikiria kuwasaidia wananchi, hana tofauti na kijana anayeoa kwa sababu umri umefika au ili kuficha madhaifu yake kwa mwanamke. Wapimeni wanaopiga kelele majukwaani kuhusu shida za wananchi, waulizeni, wamewahi kufanya nini katika mitaa yao, wilaya zao, mikoa yao, au kwa Taifa kwa ujumla?" — Alloyce, P.R.
 
Back
Top Bottom