Uongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie...
Mkiendekeza maagizo ya wanasiasa na ushauli kama ule wa Sheihk mkuu kwenye sikukuu ya Idd uliofatiwa na kukamatwa kwa Lissu na Kushambuliwa kwa Katibu wa tec Fr Kitima, mtaua wengi mpaka tunaingia kwenye uchaguzi mkuu kwani sioni hekima ya kiongozi mkuu katika kipindi hiki kigumu kwa taifa...
Safu Mpya Viongozi Wakuu wa CHAUMMA:-
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza safu mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu kwa kile walichoeleza ni kuleta mabadiliko ya kweli nchini:
🔹 Salum Mwalimu – Katibu Mkuu CHAUMMA
🔹 Devotha Minja – Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
🔹 Benson Kigaila – Naibu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema
Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko nyumba wisho wao au taasisi walizoongoza haukuwa mzuri
Niwatakie siku njema
Siasa za nchi za Afrika zikeshindwa kuleta maendeleo ya kweli kutokana na mitazamo ya harakati za wanasiasa.
Kabla ya kupata uhuru, wanasiasa wa kipindi hiko walijikita katika kuleta ukombozi wa kweli kwa nchi zao. Hivi walielekeza nguvu katika kuleta umoja wa kitaifa. Baada tu ya ukombozi watu...
Ni wazi wanachadema wengi mno watajiengua Chadema na kujiunga na vyama vingine vya kisiasa nchini kwakua Chadema haina tena sifa za kua chama cha siasa kinachoweza kuvutia wanachama zaidi, kwani kimejikita zaidi kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi na kujiondoa kabisa kwenye michakato...
Kwa kweli uongozi wa TFF na Bodi ya Ligi una changomoto kubwa sana hasa kutokana vilabu vya Yanga na Simba. Uongozi wao siyo imara. Ninauliza muda wa uongozi wao unaisha lini ili watupishe tuchague uongozi mpya.
Nitashangaa sana kama uongozi huo wa TFF na Bodi ya Ligi watarudi tena...
Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu...
Sote ni mashuhuda kwamba tangu uongozi mpya kuchaguliwa, Chadema imekua ikiendeshwa kwa matamko na press conferences ambazo kimsingi nyingi zililenga kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wa chama wasio na ajira, waliojificha nyuma ya kuomba kuchangiwa pesa kwaajili ya matumizi ya...
Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu:
Itakuwa ndiyo nguzo...
Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono.
Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
Listen up kings, let’s get this real and raw—life ya ndoa siyo sinema, na hakuna mtu atakuja kukufundisha kuishi na mwanamke wako. Hii ni game ya akili, moyo na nidhamu ya hali ya juu.
Ukiona unam-control mke wako kwa makelele, vitisho na mangumi, bro unaishi kama colonizer wa karne ya 18. Hii...
Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE).
Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka.
Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko.
Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Embu Soma hapo chini habari hii ili uelewe ni namna gani CCM imekuwa ikitoa na kupika viongozi bora na makini ambao wanakuja kuwa Daraja la matumaini Duniani Kwote.
Ukiona CCM imekuletea kiongozi ngazi ya Urais ili umchague katika sanduku la kura. Basi ni lazima ujue...
Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema.
Leo hii ghafla, na kwa makusudi,
chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
Katika jambo linalonishangaza ni kuwa mwaka huu 2025 mwezi wa nane Tanzania kama ilivyo Kenya na Uganda tunahost michuano ya CHAN na 2027 tunahost Afcon lakini jiji la Dar es Salaam kila kukicha linaendelea kuwa chafu, vibanda na biashara hole holela zinaongezeka kila kona.
Bodaboda hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.