uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Feisal umemalizana na uongozi bado ujamalizana na mashabiki na wanachama wa yanga wenye hasira kali juu yako

    Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka. Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama...
  2. Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

    "Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP). Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye...
  3. SoC03 Uongozi wa Kweli: Uwajibikaji, Kujenga Mtazamo Mzuri wa Uongozi, na Kuwasaidia Wafanyakazi Kujifunza na Kukua kiutendaji

    UONGOZI WA KWELI: UWAJIBIKAJI, KUJENGA MTAZAMO MZURI WA UONGOZI, NA KUWASAIDIA WAFANYAKAZI KUJIFUNZA NA KUKUA KIUTENDAJI Imeandikwa na: MwlRCT Picha | Kwa hisani ya superbeings UTANGULIZI Mada yangu ni "Uongozi wa Kweli: Uwajibikaji, Kujenga Mtazamo Mzuri wa Uongozi, na Kuwasaidia Wafanyakazi...
  4. Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  5. James Mbowe ameonesha ana kipaji kikubwa cha uongozi, achukue fomu kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama. Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
  6. Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

    Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
  7. SoC03 Teuzi Mpya Tanzania

    Uteuzi mpya wa viongozi na mabadiliko ya viongozi Tanzania mwaka 2022/23 yamekuwa chachu kubwa katika kuimarisha uongozi bora na uwajibikaji. Mabadiliko haya yameleta matumaini mapya kwa wananchi na kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali za utawala nchini. Katika muktadha huu...
  8. Rais Samia na 50/50 ya wanawake katika uongozi

    Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo. Mbali na kuweka wanawake wengi Katika nafasi za uongoz Lakini pia ndio Rais wa kwanza kuteua mwanamke kua...
  9. Nini kilisababisha Uongozi wa Yanga kujaa wahuni na Masela?

    Nimemsikiliza msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitangaza kwamba Haji Manara ndio mratibu wa safari za Aljeria. Sote tunafahamu kwamba Haji amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka Nimemsikiliza Fei Toto akisema kwa uchungu kwamba ametukaniwa mama yake na msemaji wa Yanga. Juzi tu tulisikia Ali...
  10. SoC03 Maadili ya Uongozi: Hadithi ya Simba Mfalme na Nyani Mjanja

    MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA Imeandikwa na: Mwl.RCT Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
  11. SoC03 Karma na Uongozi: Jinsi matendo yetu yanavyoathiri Jamii

    KARMA NA UONGOZI: JINSI MATENDO YETU YANAVYOATHIRI JAMII Imeandikwa na: Mwl.RCT **************** Kuna kijiji kimoja kilichokuwa kikiishi katika umaskini mkubwa na matatizo mengi. Kiongozi wao alikuwa mtu mwenye tamaa na kujali maslahi yake binafsi badala ya maslahi ya jamii. Mmoja wa wakazi wa...
  12. Ni sahihi wanawake kuwapa uongozi au tunajipiga mtama sisi wenyewe..??

    Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!.. Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo...
  13. Kusudi la Mungu na uongozi wa Tanzania-simameni katika kweli, haki na toba-msiogope

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa. Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa...
  14. Nimeitazama hii video kwa makini hakika Uongozi ni jalala

    Nyerere,JPM na Sasa Ruto
  15. M

    SoC03 Kuunda Mabadiliko ya Kweli: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi

    Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
  16. SoC03 Tofauti Kati ya Kiongozi Bora na Mtawala Mbaya: Sifa za Uongozi wa Kidemokrasia na Utawala wa Kiimla

    TOFAUTI KATI YA KIONGOZI BORA NA MTAWALA MBAYA: SIFA ZA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA NA UTAWALA WA KIIMLA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, kumekuwa na watu waliopewa jukumu la kuongoza na kutawala jamii zao. Hata hivyo, si kila mtu aliyekuwa na jukumu hilo alikuwa na...
  17. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
  18. Pakistan na siasa za aina yake, uongozi huko ni jasho na damu

    Hili taifa miaka yote tangu kuanzishwa kwake huwa liko katika migogoro ya kisiasa. Mawaziri wake wakuu rasmi wote 18 waliowahi kuingia madarakani hakuna aliyewahi kumaliza awamu yake ya uongozi. Lazima moja kati ya kuuwawa, kupinduliwa, kuondolewa kwa kura ya kutokuwa na imani au kujiuzulu na...
  19. Bashe punguza kujiamini kana kwamba una hisa ki uongozi na aliyekuteua

    Bwana mdogo Bashe kwa siku za hivi karibuni umeonyesha hali ya kujiamini iliyopitiliza huku ukisahau kwamba wewe ni mteule na mda wowote uteule wako unaweza kutenguliwa. Tatizo la vijana wengi huwa mnavimba vichwa mnapopata kuaminiwa na kusifiwa na mteule japo kwa mambo kadha wa kadha...
  20. Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

    Umofia kwenu nyote, Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana. Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini. Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…