uoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga????

    Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga wa machawa wa Mama? Yaani wenyewe hawana imani kiasi kwamba wanafikiri ana muhujumu Mama hivyo wapambe wa Mama wamehakikisha amezungukwa na wazanzibari tupu. Je tumefika huko ? tumekuwa tukisikia tu lakini angalienei...
  2. M

    Wasauzi wamechafukwa mno: Hawataki wageni sasa bila hata uoga

    South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi zingine za africa au nchi za asia Sasa wameanza kwenda mpaka mashuleni kuwasubiri wakati wanaenda...
  3. stabilityman

    Ukishinda uoga umetajirika

    Maana yake ni rahisi lakini yenye nguvu kubwa: Ukiweza kushinda huo uoga wako, utajirika (au utafanikiwa sana). Uoga ndiyo kizuizi kikubwa zaidi cha mafanikio kwa wengi. Ni uoga wa kushindwa, uoga wa kuhukumiwa, uoga wa kupoteza pesa, uoga wa "vipi watu watasema", uoga wa kuanza kitu kipya...
  4. M

    Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  5. Mashamba Makubwa Nalima

    Kwahiyo CRDB nayo mpaka tarehe ishirini na tisa, acheni uoga nendeni ofisini

    Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu). Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na kuona mnarudishiwa vipi pesa zenu au miamala inasolviwa. Nimepitia comments kwenye page za CRDB...
  6. M

    Maisha ya uoga wa kupotezewa maisha yao yametanda Tanzania

    Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao. Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka. Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa. Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
  7. 01-01-2025

    Uoga Unaopandikizwa kwa Kizazi cha Kitanzania Ume zingatia hali zisio tabirika kama za mwaka 1978 ?

    .
  8. Tlaatlaah

    Nidhamu ya uoga, unafiki na kujipendekeza ndivyo haswa vinamtesa Hamphrey Polepole kisaikolojia na moyoni akiwa mafichoni

    Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi. Hivi sasa, historia ina...
  9. Dr leader

    Ungefanya nini ukijua unakufa kesho ?

    Kifo ni ukumbusho wa jinsi tulivyo dhaifu, na kwamba kila kitu kinaweza kuondoka kwa sekunde. Hofu zako zote hizo - wale wanaokuzuia: hofu ya kukataliwa, kuchekwa, kutengwa; - haimaanishi chochote unapoongeza kifo kwenye fomula. Ungefanya nini, ikiwa ungejua utakufa baada ya saa chache...
  10. K

    Watu wengi wameingiwa na uoga wa kuikosoa serikali,kila mtu kabaki kusifia kwa kuogopa kufanyiwa mabaya

    Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM, Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup ya kifamilia Yaani ukionekana unaikosoa CCM na serikali basi unaoneka kama muhaini
  11. Scared

    Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  12. N'yadikwa

    Uoga wa Ku-Take Risk – Tofauti Kati ya Wazungu (Westerners) na Waasia/Mashariki (Easterners)

    Uoga wa kuchukua risk ni sumu kwa maendeleo. Hili ni tatizo kubwa sana kwa jamii nyingi za Kiafrika, na lina mizizi katika malezi, mfumo wa elimu, dini, na hofu ya kushindwa. Watu wengi wanajikuta wakiwa na ndoto kubwa lakini wanaziua taratibu kwa sababu ya uoga. Kwa nini? Tuangalie mifano hai...
  13. Yoda

    Ayatollah ajifunze ujasiri na ushujaa kwa Zelensky, amepitiliza uoga

    Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech...
  14. Prof_Adventure_guide

    Utekaji, Mauaji na Hofu ya Kunyamaza: Taifa Linaangamia Kwa Saikolojia ya Uoga wa Kimfumo

    Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological...
  15. Just Pray

    Mwalimu Nyerere: Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi, mkiwa na uoga, 'I promise you' mtatawaliwa na dictators

    Wakuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatukumbusha kujenga utamaduni wa kudhibiti viongozi kama wanavunja sheria ya nchi, anasema tukiogopa, tutatawaliwa na viongozi madikteta. "Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi. Tusiogope mkiwa na uoga, 'i promise...
  16. T

    Watanzania hatuna amani ni uoga tunadanganywa

    Watu wanafanya mambo ya hovyo kwa kisingizio ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Najiuliza hiyo amani iko wapi kama tu ukitoa maoni unaanza kuwindwa, watu wakitekwa na kuuwawa polisi wanakaa kimya kwa kupumbaza watu uchunguzi unaendelea lakini mtu akisema ukweli polisi wanatumwa kwake kuzingira...
  17. W

    PreGE2025 CHASO yaitaka serikali iache uoga iruhusu siasa vyuoni

    Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO ameitaka serikali kuacha uoga wa kuzuia siasa vyuoni. Amekumbusha kuwa wapo viongozi mbalimbali waliojulikana kwa kupitia vyuo akataja mfano wa Jaji Joseph Warioba
  18. Prof_Adventure_guide

    Uoga Wetu Ni Mnyororo Wao: Hatufiki Popote Kama Tutaendelea Kuchekewa Ujinga Kwa Vigezo vya Amani Bandia

    Taweke unafiki pembeni. Watanzania wengi tumejengewa nidhamu ya uoga, na huu uoga ni kama sumu taratibu inayotumaliza roho na akili kila siku. Ni uoga ambao unatuvua utu wetu, unatufanya tusione hatari hata pale ambapo tunaumizwa hadharani. Ni uoga ambao unawapa nguvu watawala na watesi wetu...
  19. Foffana

    Abdurazak Hamza aache uoga na aache kujivunja

    Halafu ndo naona kuna watu wanasema ndo beki bora kwa sasa wengine wakianza kumlinganisha na Dickson Job ama Ibra Bacca Humu hamna kazi hastahili kuanza katika kikosi cha Simba ni muoga sana wa mechi zenye presha kubwa huwa ana kawaida ya kujivunja (yaani kujifanya kaumia ili atolewe) Alianza...
  20. BLACK MOVEMENT

    Rais Samia aache kutuuzia Uoga

    Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika. Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka Thamani Duniani, Hana majibu ya utekaji na sasa wameza kutekana ndani ya Chama chao still hana majibu...
Back
Top Bottom