unyanyasaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kilio cha Watumishi wa Bugando: Changamoto, Unyanyasaji na Ukiukwaji wa Haki za Wafanyakazi

    Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu. 1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda Moja ya...
  2. A

    KERO Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  3. Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

    Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua. Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
  4. W

    Mtoto wa Rais Paul Biya alalamikia unyanyasaji na kufuatiliwa tangu kumalizika kwa uchaguzi Cameroon

    Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema: “Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
  5. K

    Mungu atalipiza kwa mauaji na unyanyasaji 2025-2026

    Mungu atalipiza kwa mauaji na unyanyasaji 2025-2026. Litakuja jinamizi na kuanza kumalizana wenyewe kabla Mungu hajaweka watu wake kuongoza nchi. Mungu alianza kuanzia 2021 lakini naona watu wanafikiri yametokea tu sasa bahati mbaya waliochukuwa madaraka hawakuelewa wakafikiri wenyewe ndiyo...
  6. A

    DOKEZO Chemba: Mkuu wa Elimu Msingi atuhumiwa kwa Ubadhirifu na Unyanyasaji akidaiwa kuwa na Mtandao wa Kumlinda

    Wilaya ya Chemba imegeuka kitovu cha malalamiko makubwa baada ya walimu na watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wilayani humo kuibuka na tuhuma nzito dhidi ya Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Bw. Josephat Ambilikile. Wakiwa wamechoshwa na kile wanachoita utendaji mbovu, matumizi mabaya ya madaraka...
  7. H

    Maombi ya Serikali Kuweka Mikakati Madhubuti dhidi ya Unyanyasaji wa Wafanyakazi – Sektar Binafsi*

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini. Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
  8. Kwa nini watu wa jamii ya kiarabu na kihindu wanakamatwa sana na makosa ya ubakaji na unyanyasaji kingono huko ughaibuni?

    Ni kwamba mambo wanayo yafanya huko watokapo yapo normlized kwa kiasi kikubwa kwamba wakifika kule wanataka wayaendeleze au basi tu wanakuwa tempted na kujiachia kwa wazungu maana wanawake wao wamejifunika siku nzima?
  9. GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. Wajane milion 115 wanapitia Unyanyasaji

    Takwimu za kidunia zinaonesha kuwa idadi ya Wajane ni takriban millioni 258 kati ya hao, Wajane 115 millioni wanadhulumiwa, wanafanyiwa ukatili, wanakabiliwa na umaskini na kutengwa na jamii. Tanzania ina idadi ya Wajane 1,396,262 sawa na 4.4% ya Wanawake wote nchini (Sensa ya Watu na makazi...
  11. E

    ACT Wazalendo yataka Jumuiya Afrika Mashariki kuwajibika unyanyasaji wanaharakati

    Chama cha ACT Wazalendo kimelaani matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu, unyanyasaji wa kijinsia, na ukiukwaji wa mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaodaiwa kufanywa na mamlaka za Serikali ya Tanzania. Matukio hayo ni pampoja na kuzuiliwa na hatimaye kurejeshwa nchini Kenya kwa...
  12. Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  13. “Dkt. Dorothy Gwajima: Wanaowatumia Watoto kwenye matangazo ya kibiashara mtandaoni kukiona

    Wanaopakia picha za watoto mtandaoni na kuwasababishia unyanyasaji kukiona "Kuna watu sasa hivi mnaona kwamba wanafanyisha watoto matangazo ya kibiashara. Anampiga picha, anambandika hapo tangazo la kibiashara. Sasa vyombo vyetu vya kiuchunguzi tukisha pokea shitaka kama hilo linaweza...
  14. CCM imfute Uanachama Mwijaku Kwa kusababisha Udhalilishaji na Unyanyasaji

    Tabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana. Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???. Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????. Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na...
  15. Dimitri Payet kuchunguzwa na polisi nchini Brazili baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji

    Mchezaji wa mpira wa miguu, gwiji Dimitri Payet anaripotiwa kuchunguzwa na polisi nchini Brazil baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji wa kimwili na kisaikolojia' dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake mwanadada Larissa Ferrari wakati wa mapenzi yao ya miezi saba. Nyota huyo wa zamani wa klabu ya West...
  16. Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  17. Jamii yetu ina (Bullying) ya unyanyasaji wa kimaisha katika saikolojia si rahisi kuitafakari ila kwa sasa ndio inaonekana wazi kabisa

    Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k. Hii bullying niliyotaja kwenye kichwa cha habari si rahisi miaka ya 90 kushuka kukutana nayo ila kwa sasa ndio inazidi kukuwa kama...
  18. Chalamila: Wanaume acheni unyanyasaji kwa wanawake

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mwanamke ni mbegu, tunu, chachu, faraja, dira, mbunifu na shujaa katika familia na katika kuongoza taifa kwa ujumla endapo akipewa nafasi ya kuonyesha ujuzi wake. Aidha, Chalamila amegusia suala la wanaume kuwaachisha wanawake kazi, jambo...
  19. W

    Videos: Siasa ngumu zinahitaji watu wagumu, matukio kadhaa yakionyesha msimamo na ujasiri wa John Heche

    Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano Heche na Polisi wavutana baada ya kuripoti Polisi Sirari na Tarime Rorya
  20. Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

    Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham. Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…