united

United Airlines, Inc. (commonly referred to as United) is a major U.S. airline headquartered at Willis Tower in Chicago, Illinois. United operates a large domestic and international route network spanning cities large and small across the United States and all six inhabited continents.
Measured by fleet size and the number of routes, it is the third-largest airline in the world.
United has eight hubs, with Chicago–O'Hare being its largest in terms of passengers carried and the number of departures. It is a founding member of the Star Alliance, the world's largest airline alliance with a total of 28 member airlines. Regional service is operated by independent carriers under the brand name United Express. The United brand name was established by the amalgamation of several airlines in the late 1920s, the oldest of these being Varney Air Lines, which was founded in 1926 but was taken over by Continental Airlines management in 2010 in what was described as a "merger of equals" and a newly created holding company for the airlines.

View More On Wikipedia.org
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa iitwe TanChina au United Arab Emirates of OmanTan.

    Kwa uchukuaji, sorry, uwekezaji huu, Tanzania si yetu tena bali yao. Kila kitu ni chao na hata sisi ni wao. Sisi ndiyo waliowao Samia kafungua nchi kwa wachukuaji. Kila kitu kiko sokoni na bei ni bwerere. Nani atatuokoa na balaa hili la kujitakia? Hiyo ndiyo Tanzania ya Samia. Tunaangamia.
  2. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Bryan Mbeumo wa Manchester United 2019

    Mchezaji mpya wa Manchester United na Timu ya taifa ya ufaransa mwenye asili ya Cameroon Bryan Mbeumo muonekano wake miaka 6 iliyopita 2019.👇🏿 Mbeumo mwenye umri wa mwaka 26 kwasasa anafanana hivi.👇🏿
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa wadau: Royal families za United Republic of Tanganyika and Zanzibar

  4. KiuyaJibu

    JamiiForums Tanzania Take a trip around the Tanzania Mainland and Zanzibar

    Here we go
  5. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Manchester United Back Then

    Achana kabisa na hili jopo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  7. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manchester United chaliii yapigwa Fainali, Tottenham yatwaa kombe

    Sasa ni rasmi Timu ya Manchester United inamaliza msimu wa 2024/25 ikiwa mikono mitupu, hiyo ni baada ya kupoteza kwa Goli 1-0 katika Fainali ya Europa League dhidi ya Tottenham Hotspur ambayo imefanikiwa kutwa ubingwa. Spurs imetwaa ubingwa huo kwa mara ya tatu katika historia kwa Goli pekee...
  9. Mr Ezek

    JamiiForums Tanzania United States of Africa - ndoto itakayotimia

    Salaam Afrika ,Salaam Wana na Binti wa mama Afrika,Enyi watu wake aliyewaridhia.ni ndoto ya kila mwafrika wa kweli mwenye maono ya ukombozi kuona waafrika wanakuwa kitu kimoja,wanakuwa taifa moja na wenye nia moja. Huu Uzi huenda ukawa ni upumbavu kwa wengi ila ninauandika kwa tafakuri na nia...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chadema mpo , Hakuna haja ya mapambano wala mapinduzi ,njia nzuri ni kuzungumza na WaTanganyika

    Chadema mpo , Hakuna haja ya mapambano wala mapinduzi ,njia nzuri ni kuzungumza na WaTanganyika ili watu wagawane mbao,ila kabla hatujagawana ,tuipange mipaka tukubaliane ,bandari zitakuwa shared.
  11. Codehood

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuweka ushuru wa asilimia 245 kwa baadhi ya bidhaa kutoka China

    Marekani imeongeza ushuru kwa baadhi ya bidhaa kutoka China hadi kufikia asilimia 245. Hii ni kutokana na ushuru wa kulipiza kisasi, ushuru wa bidhaa zinazohusiana na fentanyl, pamoja na ushuru wa ziada chini ya sheria ya kifungu cha 301. Bidhaa kama magari ya umeme na sindano zimeathirika...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ila Newcastle united Wana sifa!

  13. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Who owes allegiance to the United Republic Of Tanzania? (Ni nani anapaswa kuwa muaminifu kwa Jamhuri ya Muungano Tanzania)?

    FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY. Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara kwakwe Lakini sio kwa upande wa Raia. Uaminifu kwa Nchi unazaliwa na uraia wa Mtu au unaanza na...
  15. Jitu la-Mtumba

    JamiiForums Tanzania Hojlund ndiyo striker mbovu kuwahi kutokea Man United

    Habarini wana michezo. Naomba nisiwachoshe,naona kama upeo wangu wa kuangalia mchezaji mchezaji umefika mwisho bila kuona thamani ya huyu no 9 wa Man united. Kwa mechi nyingi sana zimepita amekuwa mchezaji wa hovyo sana. Sikatai timu haipo kwenye form lakini yeye kazidi. Kinachonishangaza ni...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kila nikiikumbuka hii United huwa naumia sana.

  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii Sauti inayosambaa Mitandaoni ya Kiongozi wa Yanga SC kumwambia Kipa wa Tabora United aachie Leo TAKUKURU hawajaisikia au nao wameshanunuliwa?

    Ni Aibu kubwa mno na ni Kashfa pia katika Soka la Tanzania. TAKUKURU (PCCB) mmenunuliwa nao au nanyi mnaaogopa?
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Tabora United vs Young Africans inazungumziwa kuliko mechi ya Shirikisho

    Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Kiongozi Mkuu wa Taifa lolote lile ni Shabiki Nusu Liverpool na Shabiki Nusu Manchester United jua yafuatayo...

    1. Ni Mpumbavu asiye na mfano 2. Ni Mnafiki mkubwa 3. Hajui anachokifanya (Juha) 4. Muongo na Hafai 5. Mchawi / Mshirikina 6. Anapelekeshwa kama Mwehu 7. Analazimisha umaarufu na kupendwa Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
Back
Top Bottom