unguja

Unguja (also referred to as "Zanzibar Island" or simply "Zanzibar", in Ancient Greek: Μενουθιάς, romanized: Menuthias - as mentioned in The Periplus of the Erythraean Sea) is the largest and most populated island of the Zanzibar archipelago, in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. aise

    Anayehitaji kazi ya kuchimba msingi Unguja nicheki

    Kama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki 0624254690 Kazi ni kesho kuchimba msingi! Malipo 30,000 Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana. Eneo ni karibu na Fuoni kituo Cha Polisi
  2. Fbn

    Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

    Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni. Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu. Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa. Mumejazana forozani huko.
  3. Just Pray

    Watu watano wahajulikani walipo baada ya mashua kuzama wakisafiri kutoka Pemba kwenda Unguja

    Watu watano wahajulikani walipo baada ya mashua waliokuwa wakisafiria kutoka Pemba kuelekea Unguja, kupigwa na dhuruba na kisha kuzama. Wananchi katika eneo la Mwambe Wilaya ya Mkoani, Kisiwani Pemba wamekusanyika katika eneo la bandari, wakisubiri hatma ya wenzeo watano waliokuwa wanasafiri...
  4. A

    KERO Vibaka wamekithiri katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani. Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali...
  5. BigTall

    KERO Nyumba za Michenzani (Zanzibar) zinatiririsha maji yenye kinyesi Mtaani na Mamlaka hazichukui hatua zozote

    Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote. Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
  6. dalalitz

    For Sale: 29 ACRES BEACH-LAND, $3.6 MILLION AT MICHAMVI-KAE, UNGUJA.

    ...
  7. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Makunduchi: 2.8 Acres Beach Plot For Sale - South Unguja, Zanzibar

    • Direction: • Facilities: • Plot Area: • Beach Strip: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandao ya Kijamii:
  8. Expensive life

    Babu kutoka unguja kaniambia mechi ya kesho ni sare ya kufungana.

    Wakuu kesho kuna mchezo wa kukata na shoka baina ya Yanga sc vs mc alger, sasa katika dodoso zangu nimemuuliza mtaalamu mmoja kutoka unguja amenijuza mpaka sasa kwa yeye anavyoona ubao unasoma ni sare ya kufungana. Anenijuuza kuwa kinyota timu zote hadi hivi sasa zinaoneka zina uwiano sawa...
  9. Roving Journalist

    ACT yaipongeza Tume ya Haki za Binaamu kutangaza kuchunguza mauaji yaliyotokea Kaskazini 'A' Unguja

    TAARIFA KWA UMMA ACT Wazalendo tunaipongeza Tume ya Haki za Binaamu na Utawala Bora (THBUB) kwa taarifa yake iliyotoa kwa umma kwamba inafuatilia matukio mawili ya mauaji yaliyotokea hivi karibuni hapa Zanzibar, tukio la kwanza lililotokea Kidoti, Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja tarehe...
  10. Stephano Mgendanyi

    Kizimkazi Health Center Yazinduliwa Kusini Unguja

    KIZIMKAZI HEALTH CENTER YAZINDULIWA KUSINI UNGUJA Pichani ni Muonekano wa Kituo kipya cha Afya Kizimkazi au KIZIMKAZI HEALTH CENTER katika Wilaya ya Kusini Unguja ambacho kimezinduliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, tarehe January...
  11. Stephano Mgendanyi

    Debora Tluway Atembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja, Azindua Bananza la Utamaduni

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho Aidha, Mhandisi Debora Joseph Tluway amezindua Bonanza la Utamaduni Kaskazini Unguja...
  12. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Wanawake Zanzibar Wafika Kaskazini Unguja, Wakagua Miradi Iliyotekelezwa

    WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais wa Zanzibar na...
  13. BigTall

    KERO Barabara Mtaa wa Magomeni Jitini - Unguja, imechimbwa na kutelekezwa, kuna usumbufu mkubwa wa magari kupishana

    Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa. Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi unaoendelea mpaka sasa, hali inayofanya madereva kutumia njia moja hali inayosababisha kero ya...
  14. GENTAMYCINE

    Naomba kuuliza kwani Siku hizi tunavishana Nishani za JWTZ kwa Unguja na Pemba au ni kwa Utanzania wetu kumaanisha Umoja wetu?

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kutoka Pemba na Unguja - Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Oktoba 25, 2024 ...
  15. Mzee wa Code

    KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  16. Poppy Hatonn

    Mohammed Said anasema Nyerere ndiye aliyemuondoa Sultani wa Unguja 1964

    Katika video anaelezea kwamba jambo la kwanza lililotokea baada ya Mapinduzi printing press zilizokuwa zinatengeneza vitabu vya Kiislamu vilivunjwa. Ipo katika YouTube Hausemwi ila huu ndiyo ukweli mchungu nyumba ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mohammed Said akishazungumza nadhani tunajua tayari nani...
  17. Brain Kingdom

    Mungu wa Haki sio wa Kucheza nae Awadhi H Aulize alipo Jecha Jecha yule Unguja kwa Sasa

    Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela. Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba. Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania...
  18. MINING GEOLOGY IT

    Visiwa vya Pemba na Unguja: Ujenzi wa Kipekee wa Miamba ya Matumbawe na Kuunda Visiwa

    Visiwa vya Pemba na Unguja, vilivyoko Zanzibar, Tanzania, vina historia ya kijiolojia inayofurahisha. Jiolojia ya visiwa hivi inahusisha michakato mbalimbali ambayo imesababisha muundo na muonekano wa kijiolojia wa visiwa hivyo. Kwa kuanza, visiwa hivi vinaundwa na miamba ya ardhini ambayo...
  19. Informer

    Zanzibar: Kifo cha utata cha Katibu wa ACT-Wazalendo Jimbo la Chaani chaibua minong'ono

    ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike. Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
  20. and 998 others

    Tetesi: Rais Museveni kumzika Mwinyi Unguja

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuwasili Zanzibar kwa ajili ya Maziko ya rafiki yake Hayati Mwinyi. Ikumbukwe Museveni na Mwinyi walipata madaraka ya Rais miaka ya 1985/86 Ila mmoja mpaka Leo yupo madarakani
Back
Top Bottom