unapendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Unapendelea muonekano gani wa battery level kwenye screen ya simu yako?

  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  3. Stability

    JamiiForums Tanzania Kati ya minara na parachute unapendelea yapi zaidi?

    Eti mabaharia😜
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Unapendelea juisi ya tunda gani?

    Nawasalimu wote, Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana. Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi nasaga matunda hadi yanalainika sana, nachuja naweka kwa kipozeo tayari kwa kunywa taratibu. Wewe...
  5. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unapendelea zaidi kwenye simu

    Kutokana na watu wengi wanatumia smartphone kwa matumizi yao ya kila siku.Matumizi hayo yanaweza kuwa kibiashara, kielimu, ajira n.k. Katika ichi yetu kuna watimiaji wa smartphone kutoka kampuni mbalimbali, na simu izo huwa na vitu vina fanana na vingine kutofautiana. Bila kusahau Tanzania kuna...
  6. kokudo

    JamiiForums Tanzania Kati ya supu zote unapendelea ipi?

    Binafsi napenda sana supu ya samaki tena napenda kuagiza kichwa maana bila ya kula jicho sijajickia kama nimekula. Lakini pia kama hakuna napenda supu ya bata huniburudisha kwa radha yake kama hutotokwa jasho basi una matatizo kiafya. Haiishi hamu unatamani uendeleeeeee. Wewe unapenda ipi?
Back
Top Bottom