Kati ya supu zote Unapendelea ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya supu zote Unapendelea ipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kokudo, Jan 27, 2011.

 1. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Binafc napenda sana supu ya samaki tena napenda kuagza kichwa maana bila ya kula jicho cjajickia kama nimekula.Lakini pia kma hakuna napenda supu ya bata huniburudisha kwa radha yake kama hutotokwa jasho bac unamatatizo kiafya.Haiishi hamu unatamani uendeleeeeee wewe unapenda ipi?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mkuu mbona unamaliza airtime yako na chaji bure
   
 3. c

  chelenje JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Supu ya ulimi wa ng'ombe, aisee ni tamu...weka na pilipili kiasi, nikiwa Dar naipata leaders club everyday au pale karibu na ultimate security kinondoni.
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ya kambale
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kitu pweza ndio mwisho wa matatizo
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapo hapo, pweza si mchezo....
   
 7. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kazi ipo au ni fumbo??
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nyie wote mmepotea njia SUPU YA GOGO LA BUCHANI ile ndo mwisho wa yote, hasa liwe lina experience ya kama miaka 5 na zaidi maana nyama tofauti tofauti zimekatwa juu yake, sikui kikombe, sijui nundu sijui mbavu so ile mixer yake halafu lile gogo likachemswa huo mseto wake balaaaa hahahahahahahahahahahahahahah
   
 9. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  aisee supu ya sikio la nyati ni balaaa.tena mpishi asipoweka chumvi nyingi na ndimu badala ya limao,lazima ujilambe .
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Supu zote nimetumia, lakini SUPU YA MAWE ni kiboko. Mpaka utenzi nilitunga:

  Supu ya mawe,
  Ni supu kiboko,
  Haina mfanowe,
  Haina ukoko,
  Hutia kiwewe,
  Hulii kijiko.
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi unaongelea supu au vitu vingine [samaki,jicho,bata] ???
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana nawe supu ya mawe a.k.a. gongo ni kiboko lakini tunaiogopa haipimwi na TBS.
   
 13. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kama ni supu ya kawaida na si mafumbo basi supu ya pweza ndio nambari one na nikiwa mwanza huwa napenda supu ya sato pale fisherman's hotel mwaloni.
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  zote..
  ilimradi supu
   
 15. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Basi kumbe wewe huna taabu..................
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  If we are really talking about supu haijalishi ni mapishi tu..., kwa ajuae kupika hata supu ya mawe utaipenda...
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahah lol
  sipendi kuchagua dear..
  ni borea nionje vyote au yoyote..
  halafu ndo ni choose ipi zaidi..
  laikini bado ntapenda zote lol
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kweli JF imekuwa kubwa... Longtime sijakuona...., hope you are fine naona tuko jamii moja ila tunapishana tu... vibaya hivyo...:A S embarassed:
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ooohh dear
  samahani sana mpendwa..
  si wajua tena mie ndo lawyer maeneo haya..
  kazi imenizidia dear hahahahahah lol

  we waendeleaje mpendwa??
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Asante nipo shwari ila could be better..., kama unavyojua there is always room for improvement......
   
Loading...