Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo
Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona
Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
11/12/2025 when i was sleeping during midnight
I saw ♦️ red crystal from the sky was falling toward the road.
One servant of God said
“She is in the process to have death“
Pray for Tanzania 🇹🇿
Proverbs 14:34
"Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
Godbless Lema aliwahi kusema kuna siku mtavililia vyama vya upinzani viwasemee hamtavipata.
Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata
Gen Z hawana ofisi viongozi wao hawajulikani mmebaki kuwaonea viongozi wa Chadema mnaowajua na mnafahamu ofisi zao zilipo...
1.miaka miwili ijayo kuanzia sasa ni miaka mibaya sana ya shida kubwa/dhiki kubwa mateso makali ambayo haijawahi kutokea..Watu wa Mungu watapitia changamoto..na hapo ndio utajulikana kama unampenda
Mungu kweli na unampenda kweli na kama umeokoka kweli.
Waabuduo halisi watamuabudu Mungu...
Wakuu!
Mmesikia Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila ambao ametoa katika ibada iliyofanyika Septemba 07, 2025, akieleza juu ya mambo yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025?
Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania
Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa
Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala
Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu
Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa
Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu...
Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri...
https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
Yesu Kristo alipokuwa akizungumzia dalili za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alisema maneno haya yenye uzito mkubwa: “Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.” (Mathayo 24:14)
Kwa karne nyingi...
Kutokana na uzoefu mdogo nilionao wa kufuatilia hoja na kuunganisha nukta zake huku nikijaribu kurudi nyuma ya misukumo iliyopo nyuma ya hoja nimeweza kubaini kuwa nabii nyingi zinazotolewa hususani za kisiasa hasa hasa kipindi hiki cha karibu na uchaguzi zinatusukuma kushuku kama kuna mahali...
Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid!
Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa.
Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
🇮🇱 UNABII WA ISRAELI KURUDI NA KUSIMAMA TENA – NA ULIVYOTIMIA KIHISTORIA NA KISASA
ISRAEL – TAIFA DOGO LENYE NGUVU ZA AJABU
Leo tunashuhudia jambo lisilo la kawaida:
✅ Taifa dogo, lenye eneo dogo (mara 40 dogo kuliko Tanzania), lenye watu wachache (takriban milioni 9), lakini lina nguvu kubwa...
Hello
Shalom
Najua kwasababu ya upofu walionao watu ni rahisi sana mtu anayeitwa nabii kuchukiwa.
Hata kanisa linalojinasibu kuhubiri Injili siku ukiitwa nabii au ukijiita nabii tayari umeshatangaza vita. Hii ni kwasababu watu wengi wanapenda mavazi ya Kimungu na kufanya kazi za Mungu lakini...
Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa
2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za...
Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.
Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
Habari!
Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani.
Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view.
Hii ya pili naandika UNABII.
Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025'
Soma...
Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!!
Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi.
je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini.
2. Kanisa la...
Wanabodi
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali
Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE
Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.