umwagiliaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Nimebuni pampu ya umwagiliaji isiyotumia mafuta umeme/ Sola

    Nimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na baharini tu nimefanya majaribio ziwani na baharini.
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakwamisha ukuaji wa kilimo cha umwagiliaji Tanzania?

    Tanzania imebarikiwa kila kitu kinachofaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Tuna ardhi ya kutosha kabisa. Nchi yetu ina eneo kubwa la kilomita za mraba 900,000+ . Wanasema tuna eneo la hekari milioni kama 30 zinazofaa kwa umwagiliaji lakini eneo linalomwagiliwa halifiki hata 1m. Maji, Tanzania ni...
  3. Dynno22

    JamiiForums Tanzania Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

    Mara nyingi wakulima wamekuwa wakitamani kununua au kumiliki vifaa vya kilimo lakini kutokana na bei kubwa na pia kutokuwa na sifa za kukopesheka katika taasisi za fedha basi wanashindwa kutekeleza matakwa yao. Simusolar tumeliangalia hili swala kwa undani na sasa tumeamua kuwawezesha wakulima...
  4. blogspot

    JamiiForums Tanzania Nafunga Drip Irrigation, Mulching paper kwenye matuta, Dam Liner, Hydroponic, Greenhouse, na Sprinkler

    Rejea kicha cha Uzi huu Mimi ni mwanafunzi wa SUA fani ya Uhandisi Wa Maji na Umwagiliaji. Nina uzoefu wa miaka minne kwenye Nyanja hizi: Kufunga mifumo ifuatayo 1.Drip irrigation 2.Sprinkler irrigation 3.Dam liner (Kwenye mabwawa ya samaki) 4.Greenhouse 5.Mulching paper 6.Hydroponics...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, wakulima wamejipanga vipi kunufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya bwawa la Nyerere kukamilika?

    Katika siku za usoni, chakula kitakuja kuwa ndio nyenzo muhimu ya nguvu la taifa husika, taifa lenye chakula cha kutosha na cha uhakika ndilo litakuwa na sauti nguvu ya maamuzi. Kwamba atakaeleta ubishi basi ananyimwa chakula, na hapo hapo anarudi kwenye mstari. Sasa basi, kwakuwa changamoto...
  6. UTAFITI WA MADINI NA MAJI

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji na tunauza Mashamba ya Miti ya mbaio

    Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na...
Back
Top Bottom