umwagiliaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kilimo cha umwagiliaji kwa maji ya maziwa

    Tanzania imezungukwa na maziwa makubwa yenye maji mengi kama vile ziwa Victoria , ziwa Tanganyika, Ziwa nyasa nk. Mara kwa mara viongozi wetu wamesikika wakisema tutumie maziwa haya kwa kilimo cha umwagiliaji, na wakati mwingine watu hujishangaa kwa nini maji haya hayatumiki kwa umwagiliaji...
  2. P

    Kilimo cha umwagiliaji

    Mkoa wa Morogoro umepatiwa bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya umwagiliaji na ya kuhifadhi mazao. Hii itasaidia kukuza shughuli za kilimo mkoani humo na kuongeza uhakika wa upatikanaji wa chakula. Lengo la Serikali ni kuhakikisha upatikanaji wa chakula cha kutosha katika kipindi...
  3. M

    Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Nauza shamba langu zuri la umwagiliaji lipo wilaya ya Simanjiro, msitu wa tembo - Londoto. Shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. Karibuni sana.
  4. B

    Rais Samia Hassan kufufua Mradi Mkubwa wa Kilimo Umwagiliaji wa Bugwema, Mkoani Mara

    SERIKALI YARIDHIA KUFUFUA MRADI MKUBWA WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI BONDE LA BUGWEMA *Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikusudia kuanzisha kilimo kikubwa cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema. Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 70. *Bonde la Bugwena ni kubwa mno. Eneo...
  5. Light Saber Imetosha Sasa

    Special thread: Umwagiliaji moyo

    Unamwagilia moyo ukiwa wapi? Na maji yepi/kinywaji kipi? Let it be liquor. Lite ama Windhoek. Wine ama beer. Ngumu ama laini. Kama kuna namna yeyote wamwagilia moyo share nasi. Share nasi. I do smoke, I do drink just to get lost in time. Thinking. Stratergzn.
  6. N

    Bilioni 27 kujenga bwawa la umwagiliaji Mpwapwa!

    Source: ITV habari (saa 2 usiku). Mama, M/Mungu akutilie wepesi kwenye kila mnalolipanga.......hakika unajitahidi kuupiga mwendo. Vitendo vitasema vyenyewe baadae!
  7. H

    SoC02 Mkakati wa kutoka katika kilimo cha asili kwenda kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji

    Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania. Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na ziada kidogo ya mazao inayopatikana huuzwa kwa kupata fedha za matumizi ya kilasiku. Uhalisia ni...
  8. Akilindogosana

    Serikali iwekeze kwenye umwagiliaji na mbegu zinazostahimili ukame

    Sasa hivi kuna changamoto kubwa ya uhaba wa mvua au mabadiliko ya tabia nchi. Serikali iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji cha kisasa kinachotumia maji machache katika mashamba makubwa kwenye mikoa na wilaya ambazo zinafaa kwa umwagiliaji. Wananchi/vijana wapewe maeneo walime kwa kumwagilia...
  9. I

    SoC02 Kilimo cha umwagiliaji hakikwepeki!

    Nchini Tanzania idadi kubwa ya wakazi wake wanajihusisha na shughuli za kilimo hali inayoifanya sekta hii kuwa uti wa mgongo kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Mchango wa Kilimo kwa Uchumi Kilimo kimeendelea kuwa miongoni mwa sekta ambazo zimekuwa na mchangi mkubwa kwa pato la...
  10. M

    Tuwekane wazi kilimo chenye tija ni cha umwagiliaji

    Wasalamu ndugu zangu, km ambavyo kichwa cha uzi kinajieleza miaka ya nyuma kabisa nilikua mpenzi wa kufuatilia nyuzi mbalimbali zinahusu kilimo katika jukwaa hili. Nyuzi nyingi zimeandikwa katika upande wa mafanikio tu na kusahau changamoto ambazo ndizo zinamfanya mkulima aamue vyema. Baada ya...
  11. mgt software

    Wazo la Kujenga mabwawa kila kata linaweza kutuvusha kwenye kilimo cha umwagiliaji

    Wana JF Kuna wakati fulani mtu alikuja na wazo la kujenga mabwawa kila wilaya lakini kiuhalisia kuna wilaya kubwa sana zinakaribia kuitwa mkoa kutokana na ukubwa wa eneo lakini wakazi wachache. Naona hili linaweza kufeli na serikali isipate kinachokusudiwa. Ili kuwa na kilimo chenye tija...
  12. beastus kway

    Umwagiliaji wa kisasa

    Kwa anaye itajii huduma ya umwagiliaji wa kisasa kufungiwa mivimo pamoja na vifaa vyake
  13. Zacht

    Kilimo cha umwagiliaji kwa solar

    Habari zenu wakuu, Binafsi kilomo kwangu kipo damuni hio inatokana kwanza Mimi ni mzaliwa wa morogoro lakini kubwa zaidi ni mtoto wa mkulima lakini hio haijanifanya kuwa mkulima Bora. So nipo mbele yenu wakuu naomba msaada wa kimawazo, kule kwetu moro tunalima mazao mengi Sana ya umwagiliaji...
  14. D

    Mradi wa kilimo cha mbogamboga kwa umwagiliaji wa matone – Zanzibar

    DRAFT 1 MATUMIZI Gharama zisizojirudia kila msimu 1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili. 2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili. 3.Unatakiwa kuwa na sola, umeme au jenereta. Cost will vary depend on the chosen alternative. 4.Pump (Horse Power 2)...
  15. A

    SoC01 Serikali ifanyie kazi kilio cha wakulima nchini

    Tanzania bado ina safari ndefu ya kumwinua mkulima ili ajikwamue kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha kibiashara ambacho kitamwezesha kuwekeza kwenye sekta hiyo kikamilifu. Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ni wakulima lakini wengi wao wanafanya kilimo cha kujikimu wakati...
  16. Charles Gerald

    Msaada wa generator nzuri kwa umwagiliaji bustani

    Habari jf; Nina mpango wa kununua genereta. Ninaomba ushauri wa generator nzuri kwa ajili ya umwagiliaji bustanini (nyanya).
  17. Wakusoma 12

    Serikali kuongeza kodi kwa vikundi vya scheme za umwagiliaji ni kukosa Hekima kwa Wanasiasa wetu

    Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
  18. J

    Nimebuni pampu ya umwagiliaji isiyotumia mafuta umeme/ Sola

    Nimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na baharini tu nimefanya majaribio ziwani na baharini.
  19. Red Giant

    Kitu gani kinakwamisha ukuaji wa kilimo cha umwagiliaji Tanzania?

    Tanzania imebarikiwa kila kitu kinachofaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Tuna ardhi ya kutosha kabisa. Nchi yetu ina eneo kubwa la kilomita za mraba 900,000+ . Wanasema tuna eneo la hekari milioni kama 30 zinazofaa kwa umwagiliaji lakini eneo linalomwagiliwa halifiki hata 1m. Maji, Tanzania ni...
  20. Dynno22

    Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

    Mara nyingi wakulima wamekuwa wakitamani kununua au kumiliki vifaa vya kilimo lakini kutokana na bei kubwa na pia kutokuwa na sifa za kukopesheka katika taasisi za fedha basi wanashindwa kutekeleza matakwa yao. Simusolar tumeliangalia hili swala kwa undani na sasa tumeamua kuwawezesha wakulima...
Back
Top Bottom