Mkimuona Mbowe popote pale, awe kwenye Mradi wa Serikali, awe añaupiga picha na Samia, Awe kwenye chombo chochote cha habari, MPUUZENI, MSIMUONGELEE KWA NAMNA YOYOTE ILE.
Hana jipya, keshajifia kisiasa.
Kauli ya Leo ya Mh Lissu , Mandela wetu, imemzika Rasimi Mbowe, Hana Tena msaada wowote...