Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha taarifa rasmi kwa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), kikieleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa na haki za binadamu nchini Tanzania kufuatia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
Mkutano huo ulifanyika Februari...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 16, 2026.
Machumu amesema sehemu ya mafanikio ni Rais Samia kuteuliwa kuwa...
Waziri wa mambo ya Nje, Thabiti Kombo akizungumzia suala lililoibuka mtandaoni kuwa Rais Samia hakutambuliwa wala kuongea kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika Adis Abeba, amesema kwamba walioruhusiwa kuongea kuongea ni wale walioingia kwenye mkutano huo kwa mara ya kwanza baada ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tumepata Rais Sasa. Kwa hakika Tumepata nahodha hodari ,kwa hakika tumepata Jemedari hodari. Kwa hakika watanzania tuna kiongozi mbele yetu tunayepaswa kujivunia. Tuna kila sababu ya kusema asante Mungu kwa kutupatia Rais Samia .
Leo Rais wetu Mpendwa...
Taarifa ya Awali ya Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Afrika kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Afrika unatoa wito wa kufanyika kwa mageuzi ya haraka ya kikatiba na siasa shirikishi katika Jamhuri ya...
Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa ulihitimisha shughuli za mfano wa uigaji wa Umoja wa Afrika kwa wanafunzi wa Shule za Ubora wa Sayansi na Teknolojia (Steam) chini ya kauli mbiu "Haki kwa Waafrika na wenye asili ya Kiafrika kupitia fidia", ambayo ni kauli mbiu iliyopitishwa na Umoja wa Afrika...
Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
afrika
akutana
binadamu
haki
haki za binadamu
janet
kulia
makamu
makamu mwenyekiti
mwenyekiti
mwenyekiti wa tume
tume
umojaumojawaafrikawaziri
waziri kombo
Kenya imeondoa rasmi masharti ya viza kwa nchi nyingi za Afrika na Karibiani, ikiwa ni hatua ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kukuza sekta ya utalii.
Raia wa nchi zitakazoruhusiwa sasa wataweza kuingia Kenya bila kuhitaji Electronic Travel Authorization (ETA), kujaza fomu ndefu, wala...
24 May 2025
Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua..
https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw
Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
TANZANIA 'YASHTAKIWA' UMOJA WA AFRIKA!
Martha Karua ameuandikia barua Umoja wa Afrika kuhusu kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuteswa kwa Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania.
Kama majibu ya Tanzania kwa Bunge la Ulaya yalisema Bunge hilo lilipewa taarifa za...
Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika maarufu (AUC).
Katika Uchaguzi ambao ulikuwa nchini Ethiopia Mahamoud alishinda dhidi ya Raila Odinga ambaye alikuwa mwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki
Raila alishinda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), leo Tarehe 15 Februari, 2025 Addis Ababa, Ethiopia.
Moja kati ya jambo muhimu linalosubiriwa katika mkutano wa AU, ni nani atamrithi Moussa...
Kwa kweli, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kitendo cha marais wa Afrika kuiamini Tanzania na kuja kufanya mkutano ni dhamana kubwa sana ambayo alikuwa nayo Amiri Jeshi Mkuu.
Tuache chuki, tofauti zetu tuzizike, tumpe maua yake Mheshimiwa Rais kwa kuwa mwenyeji wa mkutano huu mkubwa...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa zilizochukuliwa kuwa hazikubaliki na rais wa Tume ya AU, Moussa Faki Mahamat, ambaye hivi karibuni...
Wakuu!
Ndiyo tuseme jamaa nyota yake inangara au kazi yake ni bora sana?
Maana hata miezi ajamaliza tangu ameteuliwa tena kwenye nafasi ya kuwa waziri wa Katiba na Sheria au rekodi zake za nyuma ndizo zimempa nafasi hii?
==================
Waziri wa Katiba na Sheria Nchini Tanzania Mhe. Dkt...
Niende kwenye mada . Swali ambalo nimeanza kujiuliza hivi karibuni, ni nini faida ya kuwa na AU kwa sasa hapa Afrika. Kwanza fedha tu za kujiendesha AU zinatolewa kwa asilimia kubwa na Umoja wa Ulaya. Hizo fedha haziji bure zinakuja na masharti kibao, maana yake ni kwamba Umoja wa Afrika...
NATO wana ofisi( liaison officer) kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika ( AU) yaliyopo Addis Ababa Ethiopia.
Ofisi za NATO ziko hapo tangu mwaka 2015. Viongozi wanaouhusika na masuala ya kijeshi ya AU hufanya vikao na NATO mara mbili kwa mwaka.
Tangu mwaka 2005, NATO imekuwa ikiunga mkono...
Januari 1976,huko Ethiopia,Addis Ababa, mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za OAU uliitishwa Ili kupata suluhu ya mgogoro mzito na wa kutisha uliotaka kuligawa bara la Afrika vipande vipande.
Mgogoro huo ulikuwa baina ya nchi zilizokuwa zinaiunga mkono serikali ya MPLA chini ya Antonio Agostino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.