umoja wa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Umoja wa Afrika wazindua Pasi ya Kielektroniki ya Chanjo ya Covid-19

    Umoja wa Africa umezindua pasi ya kielektroniki ya chanjo ya #COVID19 , itakayoonesha uthibitisho wa mhusika kupatiwa aina fulani ya Chanjo, ambayo inanuiwa kuwezesha usafiri rahisi ndani na nje ya Afrika. Inaelezwa kuwa pasi hiyo itakuwa katika muundo wa kidijitali, ambapo “QR Code” itaskaniwa...
  2. beth

    Rais Zelensky aomba mazungumzo na Umoja wa Afrika (AU)

    Rais wa Senegal ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Macky Sall amesema Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelenksy ameomba kuzungumza na Umoja huo. Wito huo unakuja kukiwa na mgawanyiko kuhusu uvamizi wa Urusi. Nchi nyingi za Afrika zimeonesha kutofungamana na upande wowote katika vita ya...
  3. Analogia Malenga

    Kiswahili chatambulika kama Lugha rasmi ya Kikazi ndani ya Umoja wa Afrika

    Muungano wa Afrika (African Union) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Lugha hiyo huzungumzwa katika nchi kadhaa za Mashariki mwa Afrika pamoja na jamii za Waswahili katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na Oman. Huu ni uamuzi ambao umekuwa...
  4. L

    Viongozi wa AU wapongeza China kwa kuibadilisha vizuri Afrika

    Na Kelly Ogome Umoja wa Afrika AU umeipongeza China kwa mchango wake mkubwa katika kuleta maendeleo barani Afrika. Amani Abou-Zeid, kamishina wa miundombinu na nishati wa Umoja wa Afrika amesema, China ni mshirika mkubwa katika kufanikisha maendeleo barani Afrika kupitia ujenzi wa miradi ya...
  5. Miss Zomboko

    Kiswahili kutumika kama Lugha ya Kazi Umoja wa Afrika

    Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo, Dkt. Mpango amewasilisha ombi hilo la lugha ya Kiswahili kuwa miongoni mwa lugha za kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika. Dkt. Mpango ameongeza kuwa...
  6. Analogia Malenga

    Somalia yamfukuza Naibu Mwakilishi wa Tume ya Umoja wa Afrika

    Simon Mulungo anayeiwakilisha Tume ya Umoja Afrika nchini #Somalia amepewa siku saba awe ameondoka nchini humo Simon amelaumiwa kujihusisha na vitendo ambavyo haviendani na Mipango ya Kiusalama ya Somalia Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia imetoa tamko hilo Novemba 4, 2021 ====...
  7. The Sheriff

    Umoja wa Afrika (AU) waisimamisha Sudan uanachama kufuatia Mapinduzi

    AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe. ====== The African Union has said it suspended Sudan from all its activities after the Sudanese military overthrew the civilian-led transitional government in a coup. In a...
  8. The Sheriff

    Umoja wa Afrika kununua chanjo milioni 110 za Moderna

    Umoja wa Afrika (AU) unakusudia kununua dozi milioni 110 za chanjo ya COVID-19 kutoka Moderna Inc katika mpango ulioratibiwa kwa sehemu na Ikulu ya Marekani, White House. Dozi hizo zitatolewa katika miezi ijayo, huku milioni 15 zikiwasili kabla ya mwisho wa 2021, milioni 35 katika robo ya...
  9. B

    Umoja wa Afrika umeshindwa kutengeneza chanjo ya COVID-19?

    Kuna tatizo kubwa Afrika, Yaani hata kwa kuunganisha Nguvu zetu kwa pamoja kuja na chanjo moja imeshindikana, tunabaki kuwapa pongezi kubwa wazungu kwa kutuletea chanjo. maisha ya mwafrika yapo mikononi mwa mzungu. Sasa tuna Uhuru gani? Uhuru wa kupandisha bendera na kushusha basi. Uhuru wa...
  10. Analogia Malenga

    Umoja wa Afrika (AU) waitengea Tanzania dozi milioni 17 za COVID-19

    Umoja wa Afrika umeitengea Tanzania dozi milioni 17 za chanjo za UVIKO- 19 kupitia mpango wa Umoja huo wa kuzisaidia Nchi wanachama kupata chanjo kwa ajili ya Wananchi wake. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula ameyasema hayo Addis Ababa Nchini...
Back
Top Bottom