umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni ukosefu wa busara za kiuongozi kufanya uchaguzi wakati kuna section kubwa ya umma haina imani na uchaguzi huo

    Ni jambo la kushangaza, tena la kushangaza kwelikweli. Najiuliza iko wapi busara ya kiuongozi ya kuweza kuona kuwa Uchaguzi siyo jambo la kishabiki, siyo jambo la kuwa na camp ya "ufanyike" au "osifanyike". Mimi nilitegemea kuwa ingekuwa ni jambo la busara sana kwa uongozi kuona kuwa kamakuna...
  2. JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito kwa watumishi wa umma -2025

    Kwa heshima na taadhima napenda kuungana na watumishi wote wa umma Tanzania bara (Tanganyika ya zamani). Kupitia ujumbe wa mtumishi aiyesema amepanda madaraja mawili mpaka Sasa tangu awamu ya 6 ilipoingia madarakani -2021. Kwa kweli hilo ni jambo jema kwake binafsi, ukoo wake na familia yake...
  3. JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia nimepanda cheo mara 2. Watumishi wa umma umetutendea haki

    Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu. Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe. Ndani ya miaka 7 ya utawala wa Magufuli tuliona unyama dhidi ya wananchi zaidi ya kipindi cha uongozi wa Marais wote lakini...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mbunge afunguliwa kesi kisa kutumia jina lake na picha katika mabango ya miradi inayofadhiliwa na fedha za umma

    Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma. Wakili Shadrack Wambui anasema uamuzi huo ni kinyume na maadili na unakiuka Sheria ya Uongozi na...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Trump kupiga mnada mamilioni ya ekari za ardhi ya umma kuongeza mapato ya serikali

    Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu...
  6. JamiiForums Tanzania Afya ya umma: Serikali iangalie ubora wa mablankenti yanayouzwa nchini. Mengi yanatengenezwa kwa material yanayoleta allergy(mzio)

    Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji wa binadamu. Serikali iangalie ubora wa mablanketi yanayoingia nchini na kupitia materials...
  7. JamiiForums Tanzania "Kwa Nini Watumishi wa Umma Hulipwa Mafao Makubwa Baada ya Kustaafu Badala ya Kuwezeshwa Mapema?"

    Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi. Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra: "Je, Mafao ya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo: 1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani? 2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili? Natanguliza shukrani.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
  10. JamiiForums Tanzania Ewe mwanasiasa unaefanya anasa kwa pesa za umma, Hauwaonei huruma watanzania wenzako wanaoteseka?

    Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa -chakula bora, -maji safi, -huduma za afya, -elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakifa, umma hauna haja ya kusikitika, badala yake, umma unapaswa kumshukuru Mungu kwa kuingilia kati

    Hawa ni wale ambao wamepewa madaraka makubwa katika maeneo mbalimbali na wanayatumia vibaya kwa masilahi yao badala ya kuangalia masilahi ya umma. Hivyo, naomba nitoe wito watu wa aina hii Mungu akiwachukua, tumshukuru Mungu badala ya kusikitika kwa kuokoa jamii dhidi ya mtu au watu waovu...
  12. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  13. JamiiForums Tanzania Mashirika mengi ya umma watumishi wana hali mbaya, yet wanagawa gawio kwa serikali

    Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe? Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
  14. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa umma hawako makini vya kutosha wanamwaibisha Rais Samia

    Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi...
  15. JamiiForums Tanzania "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"

    "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma" Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kuogopa aibu iliowakuta CHAUMMA Mwanza, mkurugenzi wa Karatu awaandikia barua watumishi wote wa umma wahudhurie mkutano wa Amos Makala

    Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  18. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa tume ya Utumishi wa umma

    Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi. Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa. Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini waitwe kazini kwa Email badala ya Tangazo la kuitwa kazini linalotolewa kwa UMMA?

    Salaam Wakuu, Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Project G55 ilivyofeli: Nguvu ya Umma yainusuru CHADEMA

    Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu. 1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi. Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…