umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Je, umewahi kuona mwanaume mwenye matiti/manyonyo kama huyu?

    Ni kweli wapo wengine pia wana njisia zote mbili kisukuma wanaitwa bhakima gosha(jike dume) haya ni maumbile yao walizaliwa hivyo na hawana namna. Sasa kisayansi imekaaje hii watalaamu je kuna uwezekano iwapo mtoto akizaliwa akiwa bado mdogo akafanyiwa japo upasuaji na kuwa na jinsia moja tu...
  2. M

    Mnasema mapenzi yanauma? Hivi umewahi poteza pesa ya mkopo ukaona maumivu yake?

    Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto zinazokukabili, ukajua namna maumivu huwa? Kama bado usiombe likukute maana maumivu yake unaweza hisi...
  3. VERBOSE

    LOOSE BALL: Kama wewe umewahi kukutana na Loose Balls pitia hapa. Dondosha kisa chako hapa

    Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
  4. Godoro la kioo

    Umewahi kukutana na Hali kama hii

    Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia Na je ulichukua hatua gani
  5. MakinikiA

    Umewahi kujiuliza kwanini Coca Cola inaitwa jina hilo?

    Coca-Cola ni moja ya kampuni maarufu duniani, ambayo hutengenezwa soda maarufu ya Coke na vinywaji vingine vya soda. Lakini, ilikuwaje hadi ikawa na jina hilo? Labda umewahi kusikia kwamba Coca-Cola wakati mmoja ilikuwa na kiungo cha kusisimua ambacho kiliwafanya wateja kulipenda sana. Hii ni...
  6. W

    MDAU, Ni mara ngapi umewahi kukutana na vifungashio vyenye taarifa binafsi za watu?

    Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili...
  7. W

    Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

    Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse. Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
  8. Godoro la kioo

    Umewahi kumpata kwa namna hii?

    m
  9. H

    Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  10. Oscar Lyrics

    Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  11. W

    Umewahi kuwa na mahusiano na mtu ambaye unajua yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine, iliishaje?

    Kuna hii concept ya "Open relationship" kwamba wewe uko kwenye mahusiano na mtu lakini mnapeana ruhusa ya kuwa na mahusiano na watu wengine nje ya mahusiano yenu. Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kukutana na rafiki yangu ambaye niliwahi kufanya nae kazi miaka ya nyuma. Ni kijana flani hivi mzuri...
  12. Zekoddo

    Umewahi kukutana na huu Ujumbe..?

    Wakuu, kwa wale mliwahi kuomba "Vacancy transfer" Mshawahi kukutana na huu Ujumbe kama Mimi..? Hawa watu waliotengeneza huu mfumo ni mashujaa sana 😂
  13. M

    Ukienda gereji kurekebisha tatizo, ukalipia pesa lakini gari likaendelea kuwa na shida ile ile, pesa inarudishwa au unapotezea ?

    Umeenda na gari yako gereji kwa tatizo flani, Unahakikishiwa tatizo litatuliwa Unaambiwa inahitajika spea flani unatoa hela unaambiwa inahitajika oili na grisi unatoa hela unapigiwa hesabu za ufundi unatoa hela Kuna muda unatoa hata motisha kwa fundi Lakini baada ya matengenezo kukamilika...
  14. Desierto

    Umewahi kuhama na kuacha vitu ndani kama fidia ya kodi uliyokuwa unadaiwa?

    Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
  15. M

    Umewahi Kununua Spare Part Fake? Iliathiri Gari Lako Vipi?

    Wakuu habari zenu. Napenda kuanzisha mjadala kuhusu changamoto ambayo naamini wengi wetu ambao tunamiliki magari, au tunashughulika na magari, tumeikumbana nayo angalau mara moja – kununua spare part feki. Iwe ni kwa kukosa uelewa, kwa kushawishiwa na mafundi, au kwa sababu ya bei kuwa ndogo...
  16. kyagata

    Ni wanawake au wanaume wa kabila gani ambao umewahi kukutana nao kimwili kwa wingi?

    Bila kuwapotezea muda na mambo ya salamu. Nitaanza mimi. Wanawake na makabila yao niliyowahi kuwala ni kama ifuatavyo Wakinga 15 Wapare 12 Wanyakyusa 10 Wachaga 09 Wahaya 06 Wasukuma 05 Wahehe 04 Wabena 04 Wanyamwezi 02 Wameru 01 Wagogo 01 Wangoni 01 Mkenya 01 Mzungu 01 Mwarabu 01 Mzambia 01
  17. Boss la DP World

    Ni Utapeli gani Mkubwa umewahi Kufanya/Kufanyiwa?

    Nazungumzia utapeli mkubwa kama vile kutapeli bandari au rasilimali kubwakubwa, either umefanya au umefanyiwa na je reaction ya wananchi ilikuwaje?
  18. jamaikatz

    Kazi gani ngumu umewahi kufanya?

    Wana jf niaje, Kazi gani ngumu uliyowahi kufanya katika maisha yako?
  19. Isenye

    Ni jambo gani la aibu umewahi kulifanya bila watu kukushtukia?

    Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa wanatukana kuwa nani huyo asiye na adabu kajamba,mimi nikawa nimejikausha nazuga eti na mimi kufunika...
  20. 19911008

    Umewahi kushindwa kusimamisha kwa sababu mazingira machafu?

    Rejea somo hapo juu! Watu wa Mungu tusameheane! Ee bana jana nimeenda kwenye madangulo fulani hivi yameezekwa kwa makuti na bati. Nikazikuta nyingi nikaita moja ikaja. Ikalala lakin mmmmmh harufu kali sana. Mashine ikalala kabisa. Nikanyanyuka nikamwambia nahisi njaa naomba nikale kwanza...
Back
Top Bottom