Vipi ulijisikiaje yaani unajikuta hujatarajia na hauna hela siku hiyo ila mara paap! Unaingiza mkono mfukoni kisha inakutana na hela ambayo hukumbuki ulioweka lini.
Huku duniani tumekuja kuchuma ila matumizi ya kile tulichokichuma tutakuta huko maisha ya peponi.
Kila mmoja atapata neema ya pepo kulingana na thawabu alizozichuma huku duniani.
Mitume ya Mwenyezi Mungu ipo mingi sana ila wapo wale mitume ambao daraja lao ni kubwa zaidi kuliko wengine mfano...
Huu msala omba tu usikukute aisee unaweza kuondoka na Mali zako zingine ambazo hata hazihusiani kabisa na wizi.
Mimi kwa mara ya kwanza nimekutana na huu msala nimenunua tv nch43 nimenunua ikiwa mbovu kioo ili nivune spea almanusura inipeleke ndani.
Japo muhusika au mwenye Mali kasema ilikuwa...
Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforums😳😳😳😳😳😳😳😳😳. Povu ruksa..
Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatari…
Wale wa maombi , full package? 😅
Asubuhi anakuamsha kwa maombi,
mchana mnapambanaji na maisha,
Usiku wakati wa kulala anakulaza na sala...
Huwa napenda sana kuna wazee flani au watu wazima wenye pesa anakuwa na ngozi usoni laini inakuwa na tuvitobo vitobo hivi kama amenyofoa ndevu.
Huwa najiuliza wanakuwa wanapaka nini usoni?je ni aina ya after shave au shaving cream inawafanya wawe hivyo usoni?
Mimi usoni nina ndevu nyingi sana...
Kwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana ndo shida ikaisha.
Wewe mdau umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ilikuaje😁?
Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma.
Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
Wakuu, poleni na mapambano. Leo nina swali au mjadala general.
Mara nyingi tunakimbizana na mishe za kila siku bila hata kuupa mwili na akili nafasi ya kupumzika, ukiachilia mbali vacation.
Vacation inaweza kuwa fupi tu, hata wikiendi moja nje ya mji, lakini matokeo yake yakawa makubwa sana...
kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?
Wewe vipi mdau ulishawahi
Dah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza
Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu, lilikuwa duka la uncle wake.
Kalikuwa kabinti kazuri ka machame na kipindi hicho yeye alikuwa amemaliza...
Wajuvi wa mambo wanasema kwamba hali ya nywele kusisimka unapopita mahali fulani usiku jua kuwa hio sehemu sio nzuri huenda kukawa na washirikina mahali po au majini
Je? wewe ushawahi kuhisi hivyo baada ya kupita sehemu wkt wa usiku
Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services!
Kuna wakati mwingine tunatoka safari ndefu au hata safari za kila siku, halafu ghafla gari linakataa kuwaka au linazima katikati ya barabara. Unapofungua bonnet au kufika...
Habari wakazi wa JamiiForums!
Kama ulikuwa umewahi kufika Jerry Spare Parts and Services kwa ajili ya huduma ya spare parts, repairs au diagnosis, sasa tunayo habari njema kwako! Kwa kutambua thamani ya uaminifu wako, tumeamua kurudisha fadhila kwa staili ya kipekee.
🎁 Tunakupa nafasi ya...
Umeshawahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu hutafuna kucha zao mpaka zinachubuka. Hii si tabia ya kawaida tu — ni ishara ya kinachoendelea ndani ya akili yako.
Kutafuna kucha husabishwa na Msongo wa mawazo ,Hofu au aibu, Kuchoka, kukosa la kufanya na Kwa wengine ni Tabia ya kurudiarudia toka...
Noma sana.
Nilikua bored sana nikaona nitafute sababu ya kuwa na furaha leo😅😅😅
Baada ya kutengeneza CV kwa dakika 10 kupitia Hii AI nikaona nianze kujifurahisha
No reforms no election.
Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.