umeme

  1. Mashahidi 10 kupanda Kizimbani kesi ya kukata Nyaya za Umeme Kariakoo

    Mashahidi 10 na vielelezo nane vinatarajia kutolewa katika kesi ya kukata nyaya za umeme katika Soko Kuu la Kariakoo lililopo jijini Dar es Salaam na kusababisha hasara ya Sh316 milioni, inayowakabili wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbagala na Tandika. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Erick...
  2. Siku ya tatu leo nina umeme muda wot. TANESCO watakuwa wameweza?

    TANESCO wamekuwa waungwana wakati wote wakitoa taarifa kwa umma huku wakipingwa na KEY BOARD WARRIORS ila mwisho wa siku kama TANESCO walivyosema hali ingeweza kurudia kwenye uhakika wa kupata umeme mwishoni mwa Desemba 2022. Naona Mungu kasimama nao na wanafiki wanahamia kwa uhamisho wa Feitoto.
  3. B

    Nimejiridhisha umeme ulielekezwa Dar kwa wasema ovyo

    Ninalazimika kuwasilisha hili kama Uzi. Pongezi kwenu wazaliwa wa miaka ya 90 wa pande za za huko dar. Kwa hakika wiki 2 hizi shutuma dhidi yenu sasa nimezielewa. Inawezekana vipi pande za mikoani huku kwamba kumbe umeme unaweza kurejeshwa baada ya kutokuwepo masaa 36 mfululizo bila umeme...
  4. Hivi TANESCO huu umeme ambao mmesema hamtakata sikukuu hii mmeutoa wapi

    Nazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na...
  5. Watalaamu watuambie, Mahitaji ya Umeme yanaendana na idadi ya watu?

    Maharage Chande bosi wa Tanesco anasema kuwa Kwa kuwa idadi ya watanzania ni milioni 60 basi Mahitaji ya Umeme ni megawatt 60000. Kweli jamani Megawatt 60000 anazijua huyu ama anabwabwaja tu. Mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme ndugu Maharage Chande amesema kuwa watanzania tutaendelea...
  6. Leo nalibatiza bwawa la kufua umeme Mto Rufiji

    Asanteni JF Kwa maua maua kuelekea mwisho wa mwaka Na ikawe heri next year panapo majaliwa Bwala la mto Rufiji dedication ni kwa Magufuli na Nyerere. Hawa Ndiyo washika maono wetu. Wamechukua maamuzi magumu kuhakikisha Tanzania iwe na umeme wa uhakika. Bwawa hili Nalibatiza Kwa jina la "...
  7. AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

    ~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati? ~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022. ~ Crane za mizengwe za January? ~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania? ~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi...
  8. Muungano unatutafuna! Iweje bara Umeme uwe shilingi 350 kwa unit wakati Zanzibar ni shilingi 130?

    Yaani Zanzibar wauziwe unit moja ya umeme kwa tsh.130 kama alivyoeleza Waziri wa Nishati na Madini Zanziber wakati sisi huku bara tunauziwa shilingi 350 na senti kadhaa. Na wale wataosema Zanzibar ni wanyonyaji wanakosea, Tukumbuke kwamba Bara ndio inang'ang'ania sana huu muungano matokeo yake...
  9. T

    TANESCO wamepata wapi umeme wa kuiuzia Zanzibar Tshs 30 kwa unit?

    Nimemsikia waziri kutoka Zanzibar akisema kwamba Kuna kero moja kubwa imeondoshwa kwa tanesco wamekubali kuiuzia Zanzibar umeme Kwa shs 30 Kwa unit. Huu umeme wa bei hiyo umetoka wapi?
  10. B

    Kumbe umeme mikoani bado kizungumkuti?

    Niko ukweni kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka. Hali ni mbaya. Umeme hakuna masaa 12 kwa siku. Yaani ni mwendo wa 0700 - 1900 kila siku. Siku niliyofika nilidhani ilikuwa kutuwezesha nchi nzima japo kumwona Messi akichukua kombe baadaye usiku. Kumbe hola! Kumbe haya ndiyo maisha ya...
  11. Makamba aipiga chini ETDCCo kusaini mkataba mpya wa Usambazaji Umeme Vijini (REA)

    Waziri wa Nishati Januari Makamba amezuia Kampuni ya Usambazaji umeme ya ETDCCo kusaini mkabata wa usambazaji umeme akitoa madai ya kuwepo kwa uzembe. Makamba amezui mkataba huo leo Desemba 19, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini mikataba ya utekelezaji wa mradi wa...
  12. January Makamba nikuulize unijibu, umeme ulianzia Singida ~ ARUSHA ~ Namanga ~ Nairobi nini kinaendela?

    Rais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI. Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya. Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna...
  13. H

    Wadau wa nishati ya umeme; Swali kwa TANESCO kuhusiana na mgao

    Nawasalimu na kazi iendelee.. Kuna karatiba fulani ka mgao wa umeme maeneo ya wilayani umeme huwa unakatwa jioni kuanzia saa 12 na kurudi either mid night au usiku wa manane.Sijajua sehemu nyingine Kama iko hivo. Sasa ninavyofahamu sehemu nyingine wilayani hazina heavy duties nyakati...
  14. Maharage Chande: Treni ya umeme itatumia umeme wa TANESCO

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema kuwa usafiri wa Treni ya Umeme unaotarajiwa kuanza Nchini utatumia umeme wa shirika hilo. Amesema hayo alipokuwa akizungumza na Wanahabari Ijumaa ya Desemba 16, 2022, Dar es Salaam ambapo ametoa ufafanuzi huo...
  15. TANESCO: Tumepunguza makali ya upungufu wa umeme, wiki iliyopita ilikuwa Megawati 200-250, wiki hii 100-150

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeeleza kufanikiwa kupunguza makali ya upungufu wa umeme kutoka wastani wa kati ya Megawati 200 hadi 250 wiki iliyopita hadi wastani wa kati ya Megawati 100 - 150 wiki hii. Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande amesema wameendelea kuchukua hatua...
  16. Wapandishwa Kizimbani kwa kukata Nyaya za Umeme za Tsh. Bilioni 2.3

    Mfanyabiashara Amos Lusekelo na mwenzake Mohamed Mbonde wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kuisababishia hasara Shirika la Umeme (Tanesco) ya Sh2.3 bilioni. Lusekelo ambaye ni mkazi wa Sinza na Mbonde, wamefikishwa mahakamani hapo...
  17. Afrika Kusini: Mgawo wa Umeme wasababisha Bosi wa ESKOM Group kujiuzulu

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Eskom Group Andre de Ruyter amejiuzulu huku nchi ikikabiliwa na matatizo ya kukatika kwa umeme (kukatwa kwa umeme kulikopangwa). De Ruyter anaacha wadhifa wake karibu na tarehe ya alipochukua wadhifa huo Desemba 25, 2019. Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufikia kiwango...
  18. Kiwanda kikubwa cha kijeshi Urusi chatiwa kiberiti

    Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya. --- Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid the Ukrainian war. The military-linked Zvezda engineering plant in St Petersburg caught ablaze –...
  19. Mgawo wa umeme na maji na tozo mbalimbali zimeamua matokeo ya NEC

    Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo. Nawashukuru wajumbe kwa matokeo mazuri sana! Wahusika wajitafakari kwa mstakabali wa maisha yao ya kisiasa ndani na nje ya chama! Mungu ibariki Tanzania nchi yetu.
  20. Bwawa la Nyerere likikamilika umeme utapanda bei ama utashuka bei?

    Kutokana na uwekezaji kwenye Bwawa la Nyerere kuhusisha na mikopo pia, je, lile bwawa likikamilika, bei ya umeme itapanda ama itashuka?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…