ulimwengu wa kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Diwani

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Somo leo: Mdomo wako kwenye ulimwengu wa kiroho

    Kiroho, mdomo unawakilisha lango kuu la mamlaka na uumbaji. Huu si kiungo cha mwili tu, bali ni chombo chenye nguvu ya kiroho kinachoweza kufungua au kufunga mambo katika ulimwengu wa roho na wa nyama. Kila neno unalotamka kupitia mdomo wako linafanya kazi kama amri inayoweza kubadilisha...
  3. Mme Mwenza

    JamiiForums Tanzania Mambo huanzia rohoni nakuja kimwili

    Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu kila wakigusa jambo linafanikiwa, na kuna wengine kila wakijaribu wanagonga ukuta? Siri kubwa haipo kwenye bahati, bali ipo kwenye sumaku iliyojificha ndani ya akili na nafsi yako. *Ukweli ni huu: Huvuti unachokitaka, unavuta kile ulicho nacho ndani. 1...
  4. Mme Mwenza

    JamiiForums Tanzania Uwazacho ndo ukivutacho toka ulimwengu wa kiroho hadi kimwili

    Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu kila wakigusa jambo linafanikiwa, na kuna wengine kila wakijaribu wanagonga ukuta? Siri kubwa haipo kwenye bahati, bali ipo kwenye sumaku iliyojificha ndani ya akili na nafsi yako. *Ukweli ni huu: Huvuti unachokitaka, unavuta kile ulicho nacho ndani. 1...
  5. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Secret of hands spiritually (siri ya mikono kiroho)

    SECRET OF HANDS SPIRITUALLY Hands are used to represent , action , spiritual energy and connection. Connection in spirituality palms of the hand can receive and give energy. In giving energy it can heal Mark 16:18 “They will lay their hands on the sick, and they will recover.” Also Receiving...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nayaona Maandamano katika ulimwengu wa kiroho

    Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau kwa wiki 2
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama watawala walijua wanaua mbegu ya ukombozi na kuizika basi ndiyo inachipua kwa kasi

    Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana. Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
  8. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Uzinzi,nadhiri, kiapo, ahadi na agano katika ulimwengu wa kiroho

    Wengi tulikuwa hatufahamu wale wasichana wadogo wanaotaniwa na babu zao kwa jina la "mke wangu" au "Mchumba" alafu baadae siku akija kumuoa kuna fedha huwa zinatolewa kwamba ni kumwachanisha mtu na mkewe, yaani babu kumwachanisha na mjukuu wake wa kike, usifikiri ule ni utani sio utani. Babu...
  9. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Kwenye dini kila kitu kinafanya kazi katika ulimwengu wa kiroho, Lakini likija suala la pesa 💵 hilo ni la kimwili.

    Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho. Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂 Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili? Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto ina maana gani katika ulimwengu wa kiroho?

    Wakuu, Hapa nimeshtuka toka usingizini maana najihisi kama sijui nilikua nimekufa vile. Eti nimeota niko juu mbinguni, niko na ndugu na jamaa zangu waliokufa siku nyingi, tukawa tunaiangalia dunia kutokea mbinguni, tukawa tunashangaa jinsi watu huku duniani wanavyoteseka, me nikawa nawaambia...
  11. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania Vifo vya wagombea urais mwaka 2015 (Magufuli, Lowassa na Anna Mghwira) vinatoa tafsiri gani katika ulimwengu wa kiroho?

    Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature . Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi. Walichokosea Ccm, Chadema na Act ni kushindwa kutap na universe ili kupata matokeo chanya. Magufuli - huyu nature...
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Yoda na Infropreneuer njoeni hapa niwaelekeze kitu kuhusu upingaji wenu wa ulimwengu wa kiroho

    Yoda Infropreneur Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana. Ni kweli seeing is believing kwamba mnahitaji uhakika wa shetani physically, Mungu physically na uchawi physically ndio kweli muamini...
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nimeokota shilingi 1,000: Je, nini madhara ya kuokota pesa katika ulimwengu wa kiroho?

    Nimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza. Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuzungumza na majini na viumbe wengine katika ulimwengu wa pepo

    UTANGULIZI Maisha tunayoishi yamegawanyika katika namna mbili. Ulimwengu wa Mwili na Ulimwengu wa Pepo. Binadamu ni manifestation yetu katika ulimwengu wa mwili kutokea katika ulimwengu wa pepo. Mtu anapozaliwa tunaanza kumfundisha mambo ambayo anayaona kwa damu na nyama. Kwahiyo elimu kubwa...
  16. thegalaxy

    JamiiForums Tanzania Unaota kwasababu ukilala nafsi yako hubeba siri,na taarifa zako zote kuzipeleka ulimwengu wa kiroho

    Mara zote ndoto huongea ukweli kwasababu ndoto,ni taarifa inayotokea katika ulimwengu usio na maamuzi ya kibinadamu...na ulimwengu huo huwa hausemi uwongo. Ndoto huwa inaonekana ya uongo kwasababu, aliyeitafsiri ameitafsiri tofauti na ukweli ulivyo...hivyo huonekana kama ni haikua na maana...
  17. E

    JamiiForums Tanzania CCM imebakisha miaka michache sana kuitwa chama tawala Tanzania

    Katika ulimwengu wa kiroho CCM inaonekana imebakisha miaka michache sana ya kuitwa chama tawala Tanzania Sitaki kusema sana lakini wacha tuone itakavyokuwa. Lakini kama wanavyosema kwenye ulimwengu wa kiroho ukikataliwa basi na kwenye ulimwengu wa kawaida inakuwa hivyo hivyo.
Back
Top Bottom