ulevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Je, wajua umalaya, uzinzi wala ulevi siyo dhambi?

    Dhambi ni kutolijua Neno la Mungu. Ukilijua Neno la Mungu, ukalielewa, ukalishika, litakuweka huru kweli kweli. Utakuwa huru na dhambi zote za duniani. Hutozini. Hutolewi. Hutofanya umalaya. Hutokuwa mmbea. Hutokuwa msengenya. Hutokuwa mfura. Hutofanya dhambi. Kwa kifupi, ukisikia dhambi...
  2. Mvinyo mpya

    Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

    Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM. Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
  3. M

    Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

    Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili. Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala. Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono. Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu...
  4. Setfree

    Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana mwisho mbaya mno. Ni mateso ya milele na milele. Tafadhali, fuatana nami leo tuitafakari habari ya tajiri...
  5. Setfree

    Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji "reforms"

    Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji 'reforms'" Kaa siti ya mbele, nikusimulie vituko na mikasa ya kweli iliyosababishwa na wanywa bia/pombe, halafu ujibu swali langu: "vituko na mikasa hii ndio faida za bia/pombe?" SEHEMU YA KWANZA(I) Visa na vituko vifuatavyo ni...
  6. proton pump

    Ewe kijana huwezi kutajirika kwa kucheza kamari, betting, kununua malaya, kuhonga na ulevi. Kimsingi hakuna cha rahisi

    ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️❌❌❌ 𝗡𝗮𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘃𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 𝘄𝗲𝗻𝘇𝗮𝗻𝗴𝘂 𝘄𝗮𝗮𝗰𝗵𝗮𝗻𝗲 𝗻𝗮 𝗵𝗶𝘃𝗶 𝘃𝗶𝘁𝘂, kamari, betting, malaya, pombe na kuhonga. yuko wapi MO, AZAM DANGOTE ANA KUNDI LA CASINO, BETTING? 𝐒𝐡𝐭𝐮𝐤𝐞𝐧𝐢 𝘸𝘢𝘭𝘦 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘸𝘦𝘬𝘦𝘻𝘢 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘷𝘪𝘵𝘶 𝘢𝘴𝘴𝘦𝘵𝘴 𝘯𝘢 𝘴𝘪𝘰 𝘭𝘪𝘢𝘣𝘪𝘭𝘪𝘵𝘪𝘦𝘴. 𝗘𝗪𝗘 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗨 𝗞𝗜𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜 𝗔𝗠𝗞𝗔 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔...
  7. Kijakazi

    Ulevi, kwa nini ni sifa?

    sijawahi kuelewa hili swala la ulevi hapa tanzagiza, ni kwa nini ni sifa? kwa nini mtu anajisifia kuwa mlevi wakati nchi na jamii nyingi duniani ulevi ni ugonjwa wa akili na watu wanatumia fedha na gharama kubwa kufanya therapy kuondokana nao? uzoefu wangu karibia wanawake wote waliokuwa walevi...
  8. 05CUBA

    Nakwazika mtu kila mkikutana anaomba buku 5 akatoe Lock

    Kuna wale jamaa hela alizotafuta yeye ni zakufanyia maendeleo ila ulizotafuta wewe anachukulia kama ni zakunywea pombe. MNASHINDA MAZINGIRA YENYE FURSA SAWA KWENU, NA AU MDA MWINGINE YEYE MDA WOTE YUPO KIJIWEN ANAPIGA STORY Ila kila mkikutana anakwambia "nipe buku5 nikatoe lock HUWA WANANIPA...
  9. Tauceti Rigel

    Kwa Nini Baadhi ya Walevi Hufanikiwa na Wengine Huangamia?: Pombe Ile Ile, Hatima Tofauti

    Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia. 1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi...
  10. Last_Joker

    Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

    Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu...
  11. kyagata

    Pamoja na ulevi wangu,ila kuberi nimeishindwa aisee

    Mko salama wakuu? Jana nikakutana na jamaa zangu flani ambao saivi ni madereva wa IT,tukapiga tungi weee nikaona jamaa wanachanganya kuberi na konyagi kuwauliza wanasema eti inakata usingizi.nikasema ngoja na mimi nijaribu,dah dakika sifuri nikazima,hii kitu imeniletea mpaka mafua. Sitokaa...
  12. FK21

    Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

    Wakuu habari za mda huu Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo...
  13. Mhaya

    Wasanii Wanatakiwa Kuwa Makini Na Ulevi Wa Aina Yoyote, Wengi Wao Maanguko Ndio Yanaanziga Hapo

    Ni huzuni sana, tena sana. Yaani unapokuwa na kipaji, unapoanza kuwa juu, kuna watu wanaanza kutafuta njia ya kukuangusha. Msanii wetu alikuwa mkali sana, alikuwa na ngoma kali, na alipata jina kubwa sana Tanzania. Mwisho wa siku, watu wakaamua kumpoteza. Walitaka ashuke na kuwa chini kabisa...
  14. Friji la mtumba

    TEAM KATAA NDOA – Ulevi wa Ubinafsi Usio na Maono

    Ni ajabu sana kuona kizazi kinachojiona "kimeamka" kikikumbatia falsafa ya ubachela kana kwamba ni mafanikio ya juu kabisa ya maisha. Team Kataa Ndoa wamechagua njia rahisi ya kuepuka majukumu, wakijificha nyuma ya visingizio vya uhuru, starehe, na "kupambana kivyao." Je, kweli wana akili...
  15. R

    CCM YAMJIBU JAJI WARIOBA, YASEMA CCM HAINA MGOGORO NA CHADEMA: Ona Ulevi wa Madaraka , Kejeli, Dharau, Dhihaka, impunity toka kwa Amos Makala

    Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema! Hii ni kejeli CCM YAMJIBU JAJI...
  16. T

    IGP piga chini Muliro, kauli ya kumaliza kikao na kupata kinywaji kuanzia saa 1 hadi saa 4:30 alimaanisha ulevi

    RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima. Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama. Pili, kitendo cha mharifu kuingia...
  17. S

    Hakuna utamu wa pombe tuacheni kuikuza

    Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!? Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja. Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
  18. S

    Siwezi kuthubutu kumshauri rafiki yangu aache ulevi au umalaya kama urafiki wangu na yeye unafaida namwacha alewe tu

    Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu. Tangu nikiwa mdogo hii tabia nilikuwa nayo! Wakati nasoma shule ya msingi kipindi hiko tulikuwa tunakaa kwenye mawe na...
  19. B

    Furaha ya Kweli haiji kwa ku Boost na Pombe au ulevi. Furaha ya kweli haihitaji Gharama

    True happyness does not demand expensive stuff. Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki. Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi. 1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali 2. Watu...
  20. Waufukweni

    LGE2024 Tabora: Ulevi, Matusi na Kujitenga ndio sababu Wananchi kumpigia Kura ya 'Hapana' Mgombea Uenyekiti

    Wananchi wa kitongoji cha NKENE,kijiji cha MAGULYATI,kata ya LOYA wilaya ya UYUI mkoani TABORA wamesema sababu za kumpigia kura za Hapana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa kitongoji chao NYOROBI NANGI ni kutokuwa na ushirikiano na wananchi pamoja na tabia za ulevi na matusi...
Back
Top Bottom