ulemavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Prince Dube alivyomzawadia Pesa Mwananchi Bandarini baada ya Dabi ya Kariakoo

    Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
  2. Damaso

    Je ni sahihi kwa wanawake kuonesha madhaifu ya ulemavu wa watoto wao?

    Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
  3. JanguKamaJangu

    GE2025 Majaliwa: Rais Dkt. Samia yupo tayari kufanya mambo makubwa kwa wenye ulemavu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
  4. R

    Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo kwa wanawake, watoto na wenye ulemavu

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo ya asilimia kumi ya Wanawake, watoto na wenye ulemavu Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni Bilioni 22.3 ambayo vikundi vya wanawake walipata 4%, vijana 4% na watu wenye...
  5. 888I

    Watu wenye Ulemavu na Uongozi

    https://www.instagram.com/p/DL6qc3yIgPx/?igsh=MXM2c2ZvZnBuYnR4dg==
  6. Alloyce PR

    Ulemavu wa akili katika siasa

    "Ulemavu wa akili katika siasa hujidhihirisha pale ambapo kikundi cha matusi (wanaharakati uchwara) wenye kujifanya werevu kwa kuchonganisha wananchi na mamlaka, wakivuruga mshikamano kwa maslahi binafsi. Hawa si wanaharakati wa mabadiliko, bali ni mawakala wa mgawanyiko na machafuko wanaoishi...
  7. Blasio Kachuchu

    Naibu Waziri Ummy Nderiananga azindua miradi ya Kiuchumi ya wenye Ulemavu

    Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amezindua miradi ya kiuchumi ambayo iko chini ya Shirika lisilo la Kiserikali la Strategic Alternative Learning Technique (SALT), inayohudumiwa na vijana wenye changamoto za...
  8. Tanzanian kid

    JINSI TEKNOLOJIA INAVYOSAIDIA WATU WENYE ULEMAVU.

    Jinsi Teknolojia Inavyoboresha Maisha ya Watu Wenye Ulemavu Katika dunia ya leo ya kidijitali, teknolojia si tu nyenzo ya maendeleo bali pia mkombozi mkubwa kwa watu wenye ulemavu. Iwe ni ulemavu wa kuona, kusikia, kutembea au kujifunza, kuna suluhisho nyingi zinazorahisisha maisha na kuongeza...
  9. Ojuolegbha

    Msaada wa kisaikolojia umetolewa kwa watu wenye ulemavu

    MSAADA WA KISAIKOLOJIA UMETOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU Watu wenye Ulemavu 821,763 (wanaume 411,321 na wanawake 410,442) walipatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia. Kati ya hao, watu wenye Ualbino 67,502 walipatiwa msaada wa kisaikolojia wakati wa uendeshaji wa kliniki za uchunguzi wa...
  10. M

    NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  11. M

    FAVOR ZA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Ningependa kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  12. mdukuzi

    Sababu ipi wenye ulemavu wa miguu siku hizi hawaingii uwanjani bure?

    Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu. Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote ile. Je ni kwa nini walemavu wa aina nyingine kama viziwi,mabubu,albino,vipofu nk hawakupewa hiyo...
  13. W

    Wadau waisihi serikali kuridhia itifaki ya haki za watu wenye ulemavu

    Katika juhudi za kukabiliana na mila potofu, imani zisizo sahihi na ushirikina unaodhuru watu wenye ulemavu, wadau wametoa wito kwa serikali kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuridhia Itifaki ya Haki za Watu Wenye Ulemavu Afrika kabla ya kuvunjwa kwa Bunge la 12, ili kulinda haki za kundi...
  14. F

    Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

    Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali...
  15. Just Pray

    Polisi watoa msaada kwa wanafunzi wenye ulemavu Arusha

    Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika kituo cha Mafunzo kwa Watu wenye ulemavu kilichopo wilaya ya Arumeru mkoani humo. Mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha (TPF NET)...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Waziri Ridhiwani akabidhi hundi ya mil 730 kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu Muheza

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekabidhi hundi ya shilingi Milioni 730 kwa Vikundi 74 vya Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ya Muheza Jijini Tanga. Akizungumza...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Yagawa Ambulance 4 na Viti 50 kwa Wenye Ulemavu

    MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YAGAWA AMBULANCE 4 NA VITI 50 KWA WENYE ULEMAVU Siku ya tarehe 27 Januari 2025, kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake...
  18. Stephano Mgendanyi

    Zainab Katimba: Serikali Kutoa Waraka Kwaajili ya Watumishi wa Umma Wenye Ulemavu

    Serikali inatarajia kutoa waraka utakao waelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini kutekeleza miongozo inayowahusu watumishi wa Umma wenye ulemavu ili wapate mazingira rafiki na wezeshi wanapotekeleza majukumu yao. Kauli hiyo imetolewa Februari 06,2025 Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya...
  19. Rorscharch

    Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
Back
Top Bottom