ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pendekeza hapa Watu wa kuwekewa vikwazo vya Kusafiri na Fedha na Umoja wa Ulaya

    Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao. Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine 1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Walichonifurahisha Ulaya ni kusimamisha misaada kwa Serikali lakini kuendelea kutoa misaada kwa Asasi za Kiraia na Vyombo vya Habari

    Walicho nifurahisha Ulaya ni kusimamisha misaada kupitia mikononi mwa serikali haramu lakini mashirika yataendelea kupata misaada kama kawaida. Hakuna misaada itaingia kwa serikali pesa zote zitagawanywa huku kwa upinzani wa serikali.
  3. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Saudi na UAE wasema Imamu Akieneza Chuki anakula BAN, Magaidi wengi watatoka Ulaya siku zijazo

    Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wafadhili waanza kung'ata: EU wapiga kura na kuzuia Euro Milioni 156 kwa Tanzania

    Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti. Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi za Ulaya na Marekani na Nchi Rafiki zitatoa angalizo kwa Wananchi wao wanaopanga kwenda Tanzania kufanya Utalii kuelekea DEC 9

    Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!. DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

    i
  7. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia si muuaji, ni baadhi diaspora wa Tanganyika waishio Ulaya

    https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/ kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja. Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sasa hivi mtanzania ukiomba hifadhi ya ukimbizi Ulaya unapewa haraka

    Ni raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi Ulaya wanapewa. Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa. Waganda kwenye maswala ya ushoga. Sasa kwaanzia tarehe 29 October mbongo Ulaya akiomba ukimbizi kwa maswala ya kisiasa faster...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tuige walichokifanya Wakongo waishio Ulaya kwa wanamuziki wa Kongo

    Baada ya uchafuzi wa Kongo uliomuweka Kabila Mdogo madarakani, wakongo waishio Ulaya waliojiita Les Combattants walihakikisha wale waote waliosapoti na kumpigia kampeni Kabila hawafanyi show Ulaya. Waliopatwa na hiyo dhahama walikuwa Koffi Olomide na wengineo. Kosa lao kubwa lilikuwa kupokea...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Imefikia hatua Ulaya inataka kuilazimisha China kufanya uhamishaji wa teknolojia Ulaya. How the table has turned!

    Kutokana na China kuwa na teknolojia kubwa hasa katika utengenezaji wa bidhaa za high technology imeanza kuwekeza viwanda katika mataifa ya Ulaya kutokana na mataifa hayo kuwa nyuma katika teknolojia hizo. Hatimaye EU imeona hii ni fursa ya wao kujifunza kutoka kwa Wachina. Ila wanapokosea...
  11. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Tundu Lissu alisema 'Chama chetu tunafuata maelekezo na agenda kutoka ulaya'

    Wakuu, Tupeni uhakiki hapa, naamini Mwenyekiti Kamanda Tundu Lissu hawezi kuruhusu huu ukoloni
  12. JamiiForums Tanzania Habari njema ni kuwa JWTZ ndio Taasisi pekee ilobakia yenye Kibali Cha Wananchi Nchi nzima na inayoungwa Mkono na Ulaya, Marekan na Nchi Wahisani.

    Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa. NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA...
  13. JamiiForums Tanzania Wakristu wamekumbwa na nini huko Ulaya?

    Makanisa huko Ulaya ambako ndio watu wa mwanzo kupokea ukristo na baadae waliowatuma wamissionari kuja kuwalaghai Waafrica na kuwaingiza kwenye Imani yao ambayo Sasa wameanza kuwapeleka Sodoma na Gomora kwa ajenda kupunguza idadi ya watu duniani. Wanashawishi ndoa ya jinsia Moja kati wanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Israeli imetoa onyo kali kwa nchi za ulaya

    Oya Myahudi kachafukwa kinoma. Hataki discussion na mtu yeyote yule. ================= Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amependekeza awamu nyengine ya vikwazo dhidi ya mawaziri wawili wa Israel, walowezi wanaozua vurugu na viongozi 10 wa kundi la Hamas. Waziri wa usalama wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaocheza Ulaya wanacheza kwa tahadhari kubwa ili kulinda namba zao huko, waacheni wapige maokoto, kuwaita taifa stars ni kuwasumbua

    Sio kwamba wanacheza chini ya kiwango, uwezo wanao lakini malengo yao yapo kwenye kulinda namba zao timu zao za ulaya, huko ndiko yaliko maisha yao waliyoyawekea matumaini. Kijana wa kitanania kapambana sana hadi katoboa kufika Ulaya halafu umwite Taifa Stars ? hauwezi kuwa serious utegemee...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Uingereza Ulaya ni ipi exactly?

    Unaweza kujiuliza Uingereza ipo wapi na inafanya nini, katika huu mgogoro mkubwa wa dunia, mwisho wa siku ukagundua kwamba “power” ya Uingereza ipo Google na magazetini. Wakati Juha anaivamia Ukraine, Rais Macron alikuwa ni kiongozi wa kwanza duniani kulaani uvamizi ule, kusimama na Ukraine na...
  17. JamiiForums Tanzania Historia ya Maisha ya Wayahudi Ulaya 1/5 : Sheria ukubali kuwa Mkiristo ufukuzwe au upate adhabu ya Kifo

    Utangulizi .. Kutokana na Mimi kuwa msomi wa historia , kuipenda kwa kuisoma , kuichunguza na kuifutilia kwa undani kabisa basi nakutana na vitu vingi vyenye kusisimua , vilivyofichwa au ambavyo tumekuwa tukidanganywa na kulishwa propaganda na ndio maana napenda nichimbe mwenyewe deep ili kujua...
  18. JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani) Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia Makao makuu ya Umoja wa Ulaya, EU na kuua 23

    Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa. Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu...
  20. JamiiForums Tanzania Droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2025/26

    Pot 1 teams Real Madrid Home: Manchester City, Juventus, Marseille, Monaco Away: Liverpool, Benfica, Olympiacos, Kairat Almaty Manchester City Home: Borussia Dortmund, Bayer Leverkusen, Napoli, Galatasaray Away: Real Madrid, Villarreal, Bodø/Glimt, Monaco Bayern Munich Home: Chelsea, Club...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…