Mfano unapozoea kutumia mafuta ya Petrol ya kituo cha Puma aina ya Unleaed kwenda kituo cha Total wenye Petrol ya Excellium. Niliwahi kuona gari ikiwa nzito au nyepesi napobadili vituo hivyo pamoja na utofauti wa ulaji wa mafuta
Au unapobadili vituo vinavyotumia Petrol unleaded lakini kampuni...
Kuna tatizo kubwa sana huwa linafichwa kwa kujaziwa full tank
Gari inaweza kuwa na tatizo la kubugia mafuta kupitiliza kiwango cha kawaida, matatizo haya ukafichwa kwa kujaziwa mafuta mengi
ni mpaka siku za mbele kabisa utakuja gundua uliuziwa mbuzi kwenye gunia
Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo
Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea
Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha
Isizidi cc 2000
Ulaji mzuri wa mafuta
Umbo...
bajeti
bongo
gani
gari
gereji
kirahisi
kuanzia
mafuta
magari
matengenezo
mazingira
mikoani
milioni
milioni 30
mwaka
nzuri
pamoja
rahisi
ulaji
urahisi
yanauzwa
Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi
Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya
Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo
Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
Siku tutakayopata fursa ya kuandika katiba mpya ya nchi tukumbuke.
1. Kufuta nafasi ya waziri mkuu.
Hakuna tija kuwa na waziri mkuu na makamu wa rais pamoja.
2. Kufuta nafasi za manaibu mawaziri.
Mawaziri wanatosha kumshauri rais na kufanya maamuzi ya kisera na kisiasa katika wizara zao, kazi...
Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu.
Magufuli alikuwa anajua Zitto anatumika na Kikwete akamlia bati na hakumtaka maana siku zote Magufuli alikuwa akimdharau sana Zitto. Hapo...
Mambo vipi wakuu!
Bila shaka mtakubaliana nami kuwa ugali ni chakula kikuu katika jamii nyingi barani Africa ingawa Marekani ndio inaongoza kwa kulima mahindi duniani lakin rekodi zinaonyesha ni kwa matumizi ya mifugo.Africa ndipo sehemu mahindi yatumika sana na mara nyingi mfululizo kwenye...
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.
Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...
Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it,
Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial expressions na hata ukiskiza tones za baadhi ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa...
Sunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184)
Matn ya hadithi ni kama hivi:
"صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ."
Tafsiri ya maneno:
"Salini katika mazizi ya mbuzi, na msiswali katika mazizi ya ngamia."
---
Kisha kuna riwaya nyingine katika Musnad...
ULAJI CHAKULA CHA AINA MOJA WATAJWA CHANZO CHA UDUMAVU, SYLVIA SIGULA AHOJI BUNGENI
Serikali imesema kuwa moja ya sababu za udumavu wa watoto katika baadhi ya mikoa nchini ni tabia ya ulaji wa chakula cha aina moja, licha ya mikoa hiyo kuongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula.
Kauli hiyo...
Anhinga ama kisayansi kwa jina la Anhinga rufa, ni ndege anayepatikana hasa katika maeneo ya kusini mwa Afrika. Ndege huyu ni maarufu kwa uwezo wake mkubwa wa kuvua samaki na hata kula nyoka, akitumia mbinu zake za kipekee katika kuwinda.
Hata hivyo, kuna watu ambao hula nyama ya ndege huyu...
Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga.
. Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop.
Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja.
Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine.
Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna.
Chawa wamekua kirusi...
Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi.
---
North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.