ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

    Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tatizo sio Polisi bali Serikali

    Wasalaam. Nimesikitishwa na maamuzi ya kamati kuu ya ccm kutaka jeshi la police lichunguzwe kwa sababu eti wananchi wamepoteza imani nalo. Najiuliza hivi kweli serikali ya ccm haijui matatizo ya jeshi lao sikivu na tiifu kwao? Hivi kweli serikali ya CCM haijui kwanini tumefika hapa? Jeshi la...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

    Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna. Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana. Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mama ntilie wanatulisha uchafu

    Hii ni sekta moja wapo inayowapati kina mama wengi sana kipato, lakini tatizo limekuwa kwenye kuboresha mazingira yao ya kazi. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu maeneo tofauti tofauti, nimeagiza msosi kabla bado sijala nikasema ngoja nikague kijiko aiseeeh ni aibu, nimeletewa kijiko kinaonekana...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mnaenda katika "nyumba za ibada" zisizo na Ukweli

    DELETED
  7. JamiiForums Tanzania Ogende ogaruke na Shuntama

    Nimewahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana. Kwa wale walio na uelewa wowote wa mambo haya, je kuna ukweli wowote au ushuhuda? Au ni hadithi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

    Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza. Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi...
  9. JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

    =========================== Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia. Vita...
  10. JamiiForums Tanzania Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

    Jana bana ile tunakula lunch ghafla story za kui jadili ofisi yetu (Moja ya Halmashauri nchi) zikaibuka. Aisee Kazi za Halmashauri ni local sanaa. Ila hoja aliyoibua Rais Samia akiwa Mara, haiko mara tu. Ipo TANZANIA NZIMA, Kila halmashauri ni kiazi kilichooza, ukitaka kuthibitisha hili...
  11. JamiiForums Tanzania NBAA inatakiwa kuchunguza madai ya Kigwangala na kama yana ukweli kuwafutia leseni ya kufanya auditing wahusika

    Auditing is a profession na trustworthy ya report is key to stakeholders. Iwapo madai ya Kigwangala yanaukweli upande wake aujachunguzwa na control measures za matumizi ambazo ahusiki nazo kuamua matumizi. Wahusika wa hiyo report wamevunja kanuni za auditing ethics and obligations, makosa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ijue ukweli CCM haina 100% ya Watanzania

    Nimekuwa nikifuatilia serikali hata wakati wa Magufuli . Tatizo moja ni serikali ya Tanzania imejiaminisha kwamba wana support ya 100% ya Watanzania. Tatizo ni moja tu huwezi kuyeyusha 30%-40% ambayo hao CCM wamesema wapinzani wamepata kura. Yaani pamoja wa wizi wote wa 2020 hakuna mtu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

    Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar. Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo...
  15. JamiiForums Tanzania Hili la Mugalu kutolipwa fedha zake za tuzo lina ukweli gani wadau? Bodi ya Ligi ina cha kujibu

    Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu. Nimejaribu kupekenyua sijajua hasa ni ipi inayozungumzia lakini niliyoiona labda ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kufurahia Ushindi dhidi ya Asec Mimosa FC na nilivyowaona Gendamarie FC na Berkane FC sasa tuambiane tu Ukweli tuisaidie Simba SC yetu

    1. Bado Simba SC yetu haichezi Mpira wa Kuvutia na pia watuambie kwanini Kipa mzuri, mzoefu na makini namba Mbili Beno Kakolanya haonekani na badala yake mbadala wake anakuwa Kipa Kinda ambaye Mightier simkubali na simuamini pia Ally Salim? 2. Simba SC yetu upande wa Stamina hatuko 100% Fit...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  18. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu Ukweli usiosemwa na Wanawake kuhusu Kupenda?

    Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao. Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi...
  19. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Osman Kazi kwenye Kilenga cha Mwisho unapotosha ukweli

    Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League. Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17 za soka hakuna mahala popote "advantage play" imeandikwa. Swali kwako Osman, ni kweli huijui Law 5 -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…