ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Je, Mafundi Wetu Ndio Wanaangamiza Magari Mapya? Tuchambue Ukweli

    Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
  2. Ukweli wa mambo huu hapa

  3. O

    Kuna ukweli kwenye bei za hizo machine

    https://www.instagram.com/p_m_k_investiment?igsh=MWY5Y21mcWV6aGFocw== Ni pikipiki mbalimbali je bei zake zina sadifu uhalisia nani anihakikishie hawa jama wapo hapa dar
  4. Ukweli usemwe Polepole ni dhaifu na hakukata kiu

    Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
  5. Nilitarajia Polepole aweke hadharani ukweli juu ya kifo cha hayati Magufuli

    Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala. Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe? Polepole hajagusia kabisa!
  6. Kwa ninavyokujua GB 64 hapo Karume kabla ya hii Press yako yenye Ukweli mahala fulani ulianza kwanza kupiga kile Kitu chako cha hapo Shaurimoyo

    GB 64 Sisi Masela Wenzako tumeshabadilika na Kukua sasa mbona Wewe bado tu Usela uko damuni? Nimecheka sana japo umesema Ukweli!!!
  7. Ukweli utabaki kuwa ukweli

    Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba. Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu. Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli...
  8. Yaani kumsema na kuongea ukweli kuhusu imekuwa udini?

    WaTanzania wengi sana wamejengewa fikra kwamba wanapaswa kumuona Nyerere ni kama malaika yaani hapaswi kusemwa wala kukosolewa eti kwamba tukimkosoa basi ni udini na utapata matusi,kejeli na kila Aina ya maneno mabaya je mbona tunamsema Magufuli aliyoyafanya na wengi wenu hamlalamiki? Kwamba...
  9. Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

    Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji. Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
  10. Ukiukataa huu Ukweli Mchungu wa Dudu Baya ni lazima tu utakuwa una matatizo makubwa ya Akili

    Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%. Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR...
  11. Huu ukweli mtupu ungesemwa nasi Wakristo tungeambiwa hatuwapendi, nashukuru Mungu kausema Mwenzao anayejua vyema Uislamu

    Kudadadeki.....
  12. Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

    Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu . Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda . Nina mashaka Makubwa na Elimu yake. Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi. Hatuwezi...
  13. GE2025 Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

    Wanabodi, Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
  14. Binadamu ana majibu ya maswali yote! Wachache wanaujua huu ukweli

    Ukiniuliza swali nikupe majibu, majibu nitakayokupa mimi ni yangu binafsi sio yako. Majibu yangu nitakayokupa yatatokana na experience yangu na sio yako. Wewe una experience yako, mimi nina experience yangu. Kama swali lako ni la ki proffesional na mimi ni proffesional basi majibu yangu...
  15. D

    Ukweli Fikirishi: Nani Anataka Mabadiliko na Amani ya Kweli kati ya Wanaosema No Reform No Election na Wale Wanaosema Watalinda kura?

    Kuna vitu wala havihitaji kuwa la saba C kuving'amua. Huyu anasema no reform no election akimaanish bila mabadiliko ya kweli hakuna uchaguzi na hawa wanaosema watalinda kura.. Hivi unalindaje kura kwa mfano? Ni njia gani watazitumia? Halafu cha ajabu watu hao ni watz, wanajua context yote. Havana
  16. B

    Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  17. Tuambizane ukweli, hivi ulishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki zisizoeleweka?

    Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka. Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana) Sasa vimbaumbau, yaani iwe kazini au mashuleni, wale waalimu au viranja au maboss wembamba ni hatari...
  18. Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

    Hivi ni kweli kuna kiumbe ambacho kinaongoza kujidhalalisha chenyewe alafu tena kilalamikia matokeo yake🤣
  19. WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…