Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza.
Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani.
Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani.
Alikuwa rapa wa CCM!
Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
Tuliona tuliyoyaona Zimbabwe ya Mugabe wa ZANU PF na Morgan Tsvangirai wa MDC, tuliyajua pia ya Venuzuela ya Hugo Chavez kabla ya Nicolas Maduro na baada ya Nicolas Maduro-Venezuela: Populism, Petro-State na Mporomoko wa kiuchumi. Huenda tuliona ndivyo sivyo na pengine zilikuwa ni taswira zaidi...
Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 na kushindwa. Baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Mwaka 2020 Queen Sendiga aligombea Urais kupitia ADC na kushindwa. Naye baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM.
Je lengo la...
Karibu Bright and Genius Land, nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na ushindani mkubwa. Kila mmoja anaelezwa kwa sauti tofauti...
Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na kuleta mabadiliko. Kwa upande mwingine, viti vya Mkuu wa Mkoa au Wilaya vinang’aa kimya kimya, vikimiliki...
Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo.
Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !?
Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?
Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya
Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
Ndugu zangu wabantu na wale mbari za wachache katika eneo letu la maziwa makuu tujihadhari na hawa jamaa mbari ya kitutsi.
Watanzania hua wanaogopa kuzungumza chochote kwa msingi wa kikabila au kimbari. Sisi kwa asili yetu tuna umoja sana. Ila katika dhana hiyo tunafeli kuchambua vema tatizo...
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake.
Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
Msigwa amewapigania wana iringa kwa uchungu mkubwa sana wa kiwango cha mama mjamzito.
Nashauri Mh. Rais amateur kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa ili akatimilize kiu yake ya kuendeleza Mkoa wa Iringa
Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,.
Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.
Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo.
Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii...
Naam
Kesi ya ngedere imesumbua sana sana hadi LYAKATA akaamua achague Makuhani wa Ukuu! Lakin Kuhani Mkuu hayupo kwenye kikosi! Wakati kesi kila siku anayo huyo Kuhani mkuu,
Hii ina maana gani kwake! Au kaachwa aendelee na kazi ya Kondoa Irangi kwenye mapango?
Britanicca
Short story. Nguvu ya Marekani ipo kwenye dollar yake anbayo ndiyo "sarafu ya dunia." Moja ya sababu inayofanya dollar iendelee kuwa sarafu ya dunia ni kutumika kwake kufanyia biashara ya mafuta. Biashara yenye pesa nyingi zaidi duniani.
Mwaka 1974 Marekani na Saudi Arabia(Akiwa mzalishaji...
Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona.
* Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa!
* Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.