Kama una biashara ndogo, na ukaifanya kwa ukubwa itakulipa.
Kama una biashara ya kuchoma na kuuza mahindi, unatakiwa uongeze ukubwa kwa kuongeza kijiwe kingine na si kukiboresha kile cha mwanzo.
Kama ulikuwa na bucha, hakuna haja ya kuiboresha ile bucha,bali fungua nyingine uendelee kuuza n.k...