ukristo

  1. M

    Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chanzo: bavicha.tz Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
  2. Historia ya Ukristo na kuenea kwa neno la Mungu Tanzania

    Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar. Huko walijenga konventi ya shirika lao ili kuhudumia kiroho Wakristo toka Ulaya tu. Misheni ilipingwa na Waarabu Waislamu na e kukoma mwaka 1698...
  3. J

    Mzee Mwinyi: Nilijilaumu kwa kuliachia Bunge hadi likapitisha hoja ya Serikali ya Tanganyika, Mtikila aliisumbua Serikali yangu

    Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali. Kadhalika Mwinyi...
  4. Alama ya jicho moja: Je, ni ishara katika vikundi vya siri, ishara katika Uungu (Ukristo), ishara ya Mungu wa Misri au uwakilisho wa mpinga Kristo??

    ALL SEEING EYE, EYE OF PROVIDENCE - 1 Wasalaam, Kila mmoja alama hii aliitafsiri vile ajuavyo yeye huku madaai ya kuhusishwa na vikundi vya Illuminant /Freemasonry yakishamiri zaidi. Wengi wetu tumeichukulia kama alama ya mficho, kama zilivyo alama nyingi za kuficha na yenye ishara za...
  5. Macedonia empowering ministries network

    Hii forum ni kwa ajili ya kuongelea chochote, kutoa tafakari au jambo linalohusu dini la kristo na vilevile kuwafikia kwa mwongozo wa kidini. Our Mission is to identify, develop and release emerging kingdom leaders to unite the church and multiply leaders and congregation and thereby extend the...
  6. Je, wewe ni Mkristo au Muislamu? je, kalenda unayoitumia unaijua?

    Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu. Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…